Makamanda walokunywa MAJI YA BENDERA watazimia kumwona RAIS WA MIOYO yao anasepaMara lowasa kupokelewa rasmi dodoma
Ungejisikiaje?
Mara lowasa kupokelewa rasmi dodoma
Ungejisikiaje?
Ndo hivyo hivyo mlivyosema .... oooh NDOTO hiyo LOWASSA hawezi hama CCM ... na hata akihama CHADEMA CHAMA MAKINI HATUWEZI KULIPOKEA HILO JIZI .... but alipokuja huko huyo mlomwita JIZI kawa RAIS WA MIOYO YENU .... makamanda wote kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa kama mlonyeshewa MVUA YA VULI .... hebu waone makamanda wenzioMara paaa mtu kakushtua usingizi ukakata ndoto yako ikaishia hapo hapo.
Ningeoga maji ya kuondoa mikosi.maana ni ndoto mbaya kuwahi kutokea kwa mwanaadam wa leo hii tena katika dunia hii.ushauri wangu we muanzisha huu uzi."lala kisha nawa uso,usipige mswaki maana kinywa chako hakitanuka.ndipo uamke sasaMara lowasa kupokelewa rasmi dodoma
Ungejisikiaje?
Mkuu bora iwe ndoto tu kwakweliNingeoga maji ya kuondoa mikosi.maana ni ndoto mbaya kuwahi kutokea kwa mwanaadam wa leo hii tena katika dunia hii.ushauri wangu we muanzisha huu uzi."lala kisha nawa uso,usipige mswaki maana kinywa chako hakitanuka.ndipo uamke sasa
Kwani ya ccm aliirudisha?Mara lowasa kupokelewa rasmi dodoma
Ungejisikiaje?
Ndoto tu haitoshi labda ndoto ya mchanaMkuu bora iwe ndoto tu kwakweli
Mkuu ulijuaje??Mara lowasa kupokelewa rasmi dodoma
Ungejisikiaje?
Nilijua huyu sii kamanda tangu zamaniMara lowasa kupokelewa rasmi dodoma
Ungejisikiaje?