MARA: Nyumba 300 zabomolewa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,556
21,483
Zaidi ya nyumba mia tatu katika kitongoji cha Nyabichune ambazo zimejengwa ndani ya eneo la leseni ya uchimbaji wa madini ya kampuni ya ACACIA kupitia mgodi wake wa North Mara wilayani Tarime mkoani Mara, zimebomolewa chini ya ulinzi mkali wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo baada ya wamiliki wake kulipwa fidia kisha kukaidi kuhama katika eneo hilo hatua ambayo imetajwa kusababisha mgodi huo kufikiria kusitisha shughuli zake za uchimbaji.

Akizungumza wakati akitangaza kuvunjwa kwa nyumba hizo, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Bw. Glorious Luoga, ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Tarime, amesema hakuna mjadala tena kuhusu jambo hilo kwa sasa kwa vile wananchi hao mbali na kuvamia maeneo ya leseni ya mwekezaji na kuanza kujenga nyumba kwa mtindo wa tegesha, bado serikali iliomba mgodi kulipa fidia ili kunusuru shughuli za uendeshaji wa mgodi kusitishwa, lakini inashangaza kuona baadhi ya watu wakikaidi kuhama huku wakishinikiza kulipwa fidia kubwa kinyume cha sheria.

Naye meneja uendeshaji wa idara ya ardhi katika mgodi huo wa North Mara Bw. Abel Yiga, amesema baada ya amri hiyo ya mkuu wa wilaya, uongozi wa mgodi utalipa wananchi ambao wako tayari kwa kuongeza malipo hayo mara sita na yale yanayotakiwa kama fidia za serikali, huku mmoja wa mwananchi katika eneo hilo akipongeza uamuzi huo wa serikali.
 
Hiyo paragraph ya mwisho sijaielewa,,,,,
mbona inapingana na ya juu? au kuna mis understanding kati ya ngazi za juu? otherwise taharifa iko poa, ngoja tuone hatima ni nini? ila kikawaida hawa wawekezaji wananyonyaga sana haki za wenyeji,,,,,na seriali bado inafumbia macho suala hili,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kaya maskini znaathirika zaidi kwani mtu maskini HANAGA sauti katika chochote,,,lakini wakumbuke kuwa, MNYONGE MNYONGENI lakini HAKI YAKE MPATIE
 
Akizungumza wakati akitangaza kuvunjwa kwa nyumba hizo, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Bw Glorious Luoga, ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Tarime, amesema hakuna mjadala tena kuhusu jambo hilo kwa sasa kwa vile wananchi hao mbali na kuvamia maeneo ya leseni ya mwekezaji na kuanza kujenga nyumba kwa mtindo wa tegesha, bado serikali iliomba mgodi kulipa fidia ili kunusuru shughuli za uendeshaji wa mgodi kusitishwa, lakini inashangaza kuona baadhi ya watu wakikaidi kuhama huku wakishinikiza kulipwa fidia kubwa kinyume cha sheria.

Naye meneja uendeshaji wa idara ya ardhi katika mgodi huo wa North Mara Bw Abel Yiga, amesema baada ya amri hiyo ya mkuu wa wilaya, uongozi wa mgodi utalipa wananchi ambao wako tayari kwa kuongeza malipo hayo mara sita na yale yanayotakiwa kama fidia za serikali, huku mmoja wa mwananchi katika eneo hilo akipongeza uamuzi huo wa serikali.
Hapo kwenye red ndio sielewi, inawezekanaje kampuni inamiliki eneo kihalali lakini serikali 'inaiomba' ifidie wavamizi na kampuni inakubali kufidia zaidi ya mara sita ya thamani halisi!?
Tulikosea sana kukubali ardhi kuwa chini ya rais na hili tutalijua siku akija rais 'nyang'au' na kujimilikisha ardhi yote kama mali yake binafsi. hapo Nyamongo kuna tatizo zaidi ya kilichoonyeshwa kwenye TV na muda utatueleza ukweli huu.
 
Hapo na mi ndo kanichanganya

kama kuna m
Zaidi ya nyumba mia tatu katika kitongoji cha Nyabichune ambazo zimejengwa ndani ya eneo la leseni ya uchimbaji wa madini ya kampuni ya ACACIA kupitia mgodi wake wa North Mara wilayani Tarime mkoani Mara, zimebomolewa chini ya ulinzi mkali wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo baada ya wamiliki wake kulipwa fidia kisha kukaidi kuhama katika eneo hilo hatua ambayo imetajwa kusababisha mgodi huo kufikiria kusitisha shughuli zake za uchimbaji.
Akizungumza wakati akitangaza kuvunjwa kwa nyumba hizo, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Bw Glorious Luoga, ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Tarime, amesema hakuna mjadala tena kuhusu jambo hilo kwa sasa kwa vile wananchi hao mbali na kuvamia maeneo ya leseni ya mwekezaji na kuanza kujenga nyumba kwa mtindo wa tegesha, bado serikali iliomba mgodi kulipa fidia ili kunusuru shughuli za uendeshaji wa mgodi kusitishwa, lakini inashangaza kuona baadhi ya watu wakikaidi kuhama huku wakishinikiza kulipwa fidia kubwa kinyume cha sheria.

Naye meneja uendeshaji wa idara ya ardhi katika mgodi huo wa North Mara Bw Abel Yiga, amesema baada ya amri hiyo ya mkuu wa wilaya, uongozi wa mgodi utalipa wananchi ambao wako tayari kwa kuongeza malipo hayo mara sita na yale yanayotakiwa kama fidia za serikali, huku mmoja wa mwananchi katika eneo hilo akipongeza uamuzi huo wa serikali.

kuna mtu unamjua kwa wahusika au waathirika wa zoezi hili {namaanisha wazawa wanaotakiwa kubomolewa nyumba?}
kama yupo plz naomba twende PM
 
Wazibomoe tu maana huo ni Wizi, wewe umelipwa fidia lakini bado hutaki kuondoka sasa unategemea wafanye nini
 
Zaidi ya nyumba mia tatu katika kitongoji cha Nyabichune ambazo zimejengwa ndani ya eneo la leseni ya uchimbaji wa madini ya kampuni ya ACACIA kupitia mgodi wake wa North Mara wilayani Tarime mkoani Mara, zimebomolewa chini ya ulinzi mkali wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo baada ya wamiliki wake kulipwa fidia kisha kukaidi kuhama katika eneo hilo hatua ambayo imetajwa kusababisha mgodi huo kufikiria kusitisha shughuli zake za uchimbaji.
Akizungumza wakati akitangaza kuvunjwa kwa nyumba hizo, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Bw Glorious Luoga, ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Tarime, amesema hakuna mjadala tena kuhusu jambo hilo kwa sasa kwa vile wananchi hao mbali na kuvamia maeneo ya leseni ya mwekezaji na kuanza kujenga nyumba kwa mtindo wa tegesha, bado serikali iliomba mgodi kulipa fidia ili kunusuru shughuli za uendeshaji wa mgodi kusitishwa, lakini inashangaza kuona baadhi ya watu wakikaidi kuhama huku wakishinikiza kulipwa fidia kubwa kinyume cha sheria.

Naye meneja uendeshaji wa idara ya ardhi katika mgodi huo wa North Mara Bw Abel Yiga, amesema baada ya amri hiyo ya mkuu wa wilaya, uongozi wa mgodi utalipa wananchi ambao wako tayari kwa kuongeza malipo hayo mara sita na yale yanayotakiwa kama fidia za serikali, huku mmoja wa mwananchi katika eneo hilo akipongeza uamuzi huo wa serikali.
Hiyo paragraph ya mwisho sijaielewa,,,,,
mbona inapingana na ya juu? au kuna mis understanding kati ya ngazi za juu? otherwise taharifa iko poa, ngoja tuone hatima ni nini? ila kikawaida hawa wawekezaji wananyonyaga sana haki za wenyeji,,,,,na seriali bado inafumbia macho suala hili,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kaya maskini znaathirika zaidi kwani mtu maskini HANAGA sauti katika chochote,,,lakini wakumbuke kuwa, MNYONGE MNYONGENI lakini HAKI YAKE MPATIE
 
Hiyo ndiyo hulka na tabiya ya baadhi ya waTZ wanataka kula mkate, hapoapo na mkono mmoja umeshika kitumbua na mkono mwingine umeshika keki !!

Tanzania mpya na ya viwanda itajengekaje????
 
Back
Top Bottom