Mara nyingi wanawake mnaumizana wenyewe lakini mnatusingizia wanaume!

Makala Jr

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,395
1,110
Hodi hapa jamvini! Nimepita pita mara nyingi jukwaani MMU,nimegundua kuna watu wanateswa na mapenzi lakini majuto mengi sana hutoka jinsia ya kike. Mara nyingi nimeshuhudia wanawake wakitulaumu wanaume eti, "Wanaume hawatulii, wanaume hawaaminiki, wanaume wana tamaa sana n.k" Na wanaume nao vivyo hivyo wanalaumu, "Wanawake wanapenda vidumu, wanapenda pesa, wanapenda nywele kuliko mume n.k" Leo nataka nipate reflections za wanawake na wanaume walio na experience kuhusu polygamy. Je, umewahi kujaribu kuchunguza japo kidogo moyo wa mwanamke (mwanamke mwenza) anapokabiliwa na polygamy? (Mume mmoja, wake wengi). Je, umejaribu kufikiri kinachotokea moyoni kwa mke mmoja pindi mumewe anapolala na mke mwenza? Nani amepata kujiuliza hisia za mwanamke alipata menopause pale Mumewe anapoamua kuoa under 23 yrs old? Kwanini ni rahisi kwa Mwanamke kuvumilia haya?
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye red ni baada ya ninyi kushindwa kutimiza wajibu wenu bila kushurutishwa........
 
kweli kabisa miss chaga,unakuta mwanaume anarudi kutoka kazini sa mbili au tatu usiku monday to saturday na kila siku amechoka,hapa kweli kidumu lazima.unajua kwa mwanamke kama ushaanza tendo hilo kuacha ni ngumu so every day u need to be saved.na mianaume ya siku hizi ya chips kuku wavivu kweli.
 
Point yako ni ipi hapa.? Unataka mume aache kazi ili uwe unashinda naye nyumbani ama awe anatoroka kazini ili awahi kurudi nyumbani.?
 
miss chagga; Kuna msemo maarufu usemao"...mjinga hubomoa ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe".Anyway, kwa kawaida sisi wanaume kwa wingi wetu tunapojua mwanamke anakula mhogo wa nje ni lazima tuwe wakati na hatua lazima zichukuliwe (African Tradition). Kuna kitu nakitafuta katika nafsi ya mwanamke anayejua kuwa mwenza anakula kitumbua kwa mwanamke mwingine haswa kwenye ndoa za wake wengi still they live, what is their inner feeling? Je, wanawake kuna kipindi mnaishiwa wivu for the sake of material wealth? Utakuta kabinti kazuri miaka 22 kanamkubali Fataki kisha wana DO wakati kanajua mtu huyo analala na mkewe/mmama mtu mzima...hisia za kike zinakuwaje katika hili?
 
Last edited by a moderator:
Mwenye mada embu specify!
What is the ISSUE????
1 lawama za ke!
2 lawama za me!
3 hisia za ke (mwenye uke wenza)! If so how?
4 au unaongelea wajibu?
...
Mi nashindwa kuelewa nini kijadiliwe!
 
Mashaxizo; Ninachotaka kijadiliwe ni hisia za 'ke' wanapoibiwa waume/wapenzi wao na lawama zao kwa wanaume. Kwanini wawalaume waume/wenzi wao kwa kutoka out badala ya kujilaumu kushindwa kutekelezwa yale yanayotekelezwa na wale wa out? Pili, kwanini wasilaumiane wenyewe kwa kuharibiana mahusiano mfano, mtaa wetu hapa kuna kamgogoro.Mama K ameibiwa mume na Mama L ambaye mumewe amesafiri lakini Mama K anamlaumu sana Baba K siyo Mama L hali anajua Mama L anajua yule ni Mume wa Mama K na alipaswa amkatalie.Je hapa si kwamba Mama L amemuumiza Mama K? Kwanini Mama K anamlaumu sana Baba K kuliko Mama L?
 
Last edited by a moderator:
Kwanini upambane na mwizi anayetoka mbali, umuache huyu wa karibu ambaye ni jambazi aliyechora mchoro mpaka ukaibiwa?
Kama ni ke umeibiwa mumeo wakupambana naye ni huyu mliyekula naye kiapo cha uaminifu!
Na me ukiibiwa wa kupambana naye ni huyu uliyemuoa mkala kiapo cha uaminifu!
Nipambane na ke mwenzangu inahuuu! Wakati mume wangu ndiye gumegume?
 
Suala la polygamy ni suala la kidini zaidi! Anayeamini katika dini hiyo haiuumizi na inakuwa imejengwa kisaikolojikali kwamba kushare mume ni sehemu ya ibada!
Hivyohivyo hata kwa imani ya mume moja mke mmoja ni ngumu kulazimisha kushare mume kwa hali yoyote ile! kwavile saikolojikali ameaminishwa mume ni wa kwake peke yake!
 
Kwanini upambane na mwizi anayetoka mbali, umuache huyu wa karibu ambaye ni jambazi aliyechora mchoro mpaka ukaibiwa?
Kama ni ke umeibiwa mumeo wakupambana naye ni huyu mliyekula naye kiapo cha uaminifu!
Na me ukiibiwa wa kupambana naye ni huyu uliyemuoa mkala kiapo cha uaminifu!
Nipambane na ke mwenzangu inahuuu! Wakati mume wangu ndiye gumegume?

Hapo ndo huwa nashangaa wanawake weeengi huwa wanakaupungufu haka, yaani hasemi na mumewe eti aenda kusema na mke mwenzie cjui kwanini, wanaogopa au nini, wanahsindwa kuelew akwamba vile ulivyotongozwa ww hadi ukaolewa vile vile na mwenzio kamwagiwa sera hizo hizo, wanwume wengi huwa wanadanganya anaweza kukwambia tumeachana na mke wangu au amekufa kumbe ni uongo. Sema na mumeo kwanza mwambie ni jins gani anakudhalilisha mkumbushe kile kiapo mlichokula mbele ya kadamnasi na mbele ya mungu ndo mambo mengine yafuate sio kukurupuka kwenda kupigana na mke mwenzio utapigana na wangapi?? huyo unogombana nae pengine kuna wengine zaidi
 
Ukiamua mada zako uachane na dini za watu.polygamy hafanyi zinaa kwa kuwa anawaoa.umalaya din zote zinakataa.
 
Hapo ndo huwa nashangaa wanawake weeengi huwa wanakaupungufu haka, yaani hasemi na mumewe eti aenda kusema na mke mwenzie cjui kwanini, wanaogopa au nini, wanahsindwa kuelew akwamba vile ulivyotongozwa ww hadi ukaolewa vile vile na mwenzio kamwagiwa sera hizo hizo, wanwume wengi huwa wanadanganya anaweza kukwambia tumeachana na mke wangu au amekufa kumbe ni uongo. Sema na mumeo kwanza mwambie ni jins gani anakudhalilisha mkumbushe kile kiapo mlichokula mbele ya kadamnasi na mbele ya mungu ndo mambo mengine yafuate sio kukurupuka kwenda kupigana na mke mwenzio utapigana na wangapi?? huyo unogombana nae pengine kuna wengine zaidi

Well said habari ya hapa wanawake tufikie wakati tuache kujidhalilisha kwenda kutoleana maneno na mwizi wako. Kinachoumiza hapo unakuta baadhi ya wanaume wanawaambia hao nyumba ndogo zao baadhi ya siri zao za ndani lol!! mbona utajuta kuzaliwa? Sina muda huo mimi.
 
NKUCHA; Umenena vyema mkuu, mambo ya dini hayahusiki hapa maana ni individualism kwani kuna watu mapenzi ni zaidi ya dini kwani wapo tayari kubadili dini kusudi walinde mahusiano wakati wengine dini ni zaidi ya mahusiano ya kimapenzi na ndoa. Back to the topic, kwa kurahisisha ni kwamba kwanini kiwango cha wivu baina ya wanawake kwa wanawake ni kikubwa kuliko kwa wenza wao pindi wanapoibiana.Utakuta nyumba ndogo anamfanyia vituko sana mke wa mtu zaidi ya maneno ya kwenye kanga lakini ni vigumu sana kuona Serengeti Boy kaiba then atambe mbele ya Baba Kizibo badala yake inakuwa mbio za paka na panya. Hapo utagundua wanawake wanaumizana wenyewe!
 
Last edited by a moderator:
mimi hata usingizi hautokuja kwakweli nikifikiria sahv mme wangu ndio anamgegeda mke mdogo! khaaaaa!
 
Well said habari ya hapa wanawake tufikie wakati tuache kujidhalilisha kwenda kutoleana maneno na mwizi wako. Kinachoumiza hapo unakuta baadhi ya wanaume wanawaambia hao nyumba ndogo zao baadhi ya siri zao za ndani lol!! mbona utajuta kuzaliwa? Sina muda huo mimi.

Km ulikuwepo dada hawa viumbe achana nao kabisa, yale mapungufu/matatizo ulokuwepo nayo baada iwe siri yake anaenda kuyaanika kwa nyumba ndogo he he he kazi kweli kweli afu ww baadae unakuja masikio juu juu na mitusi kunitukana wakati me nakujua kuanzia unywele hadi unyayo tubadilike jamani tunajidhalilisha mnooo tena ni aibu kabisa
 
Husninyo; Umeyatoa ya moyoni, ikitokeo umeishi na mume vizuri, mmezaa na almost unakaribia miaka 60.Lakini inatokea Mume anaoa kabinti kadogo pengine kuliko mtoto wako wa mwisho (forget about religious norms), utachukua hatua gani?
 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa miss chaga,unakuta mwanaume anarudi kutoka kazini sa mbili au tatu usiku monday to saturday na kila siku amechoka,hapa kweli kidumu lazima.unajua kwa mwanamke kama ushaanza tendo hilo kuacha ni ngumu so every day u need to be saved.na mianaume ya siku hizi ya chips kuku wavivu kweli.

Tafuta DILDO aka tango la kizungu...
 
Back
Top Bottom