Elections 2010 Mara hakufai kabisa (huzuni)

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Mwibara 12223 -CCM imeshinda
Bunda Wasira kashinda-27502 CCM (12224 - Chadema)
Serengeti 29026 -CCM imeshinda (11140-Chadema)

Dah Mara sio kabisa safari hii.
 
Nakubaliana na heading yako ... niko very much dissapointed na hao ndugu zangu, lakini siwalaumu. Ni mfumo uliopo ndio umewajenga hivyo ( na majority ya watanzania) kuwa jinsi walivyo, so tusiwalaumu sana. Slaa ameanza, tushirikiane naye kuwaelimisha Watanzania wote .... waamke kutoka kwenye ganzi waliyowekewa na ccm kwa kipindi cha miaka 50 !!
 
Rorya ni wazi lameck ameshinda ..hapo malizia na Tarime Nyangwine kashinda....so Mara jimbo moja tu wamechukua upinzani nalo ni Musoma Mjini..
 
Nilikuwa nawaaini sana watu hawa, ila moshi wa mwenge umewaathiri vibaya masikini, hata rafiki yangu aliyeko huko hajibu msj.Poa yote maisha.:doh:
 
Back
Top Bottom