Mara baada ya habari za korona kushika usukani duniani, mtandano kumezuka watu wanaoitwa FACT CHECKERS

Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
702
763
Mara baada ya habari za korona kushika usukani duniani, mtandano kumezuka watu wanaoitwa FACT CHECKERS.

Na njaa yao kubwa sana ni ku-fact check habari za korona - sio malaria, sio kifua kikuu.

Mhhhhhh!
🤔🤔🤔🤔🤔

Kwa nini?
Bila shaka ili kuhakikisha LENGO linatimia.

Iwapo unatumia Faxt checkers kama ndio uthibitisho wa taarifa zako, UMEPATWA.

THE WORLD IS NOT WHAT YOU THINK IT IS.
 
Back
Top Bottom