Mapya yaibuka: Tukio la daktari aliyefumua mshono wa mgonjwa lilitokea mwezi Julai

Ikiwa muhusika hakuripoti hiyo Wizara ingepata vipi taarifa na kuchukua hatua? Taarifa imepatikana hivi karibuni ndiyo kuchukua hatua jamani hizi lawama nyingine nazo hata hazina mashiko.
Swali.Mimi nauliza tuu.Hiyo kazi hakuwa na nesi wa kumsaidia? Hili halina tofauti na lile la Hamza tu.Inteligensia ilikuwa wapi, Waziri alipaswa ajue.Mwezi wa 7 8 na wa 9.ndiyo taarifa inatoka tena mtandaoni.Una hakika gani kama hiyo video haikupikwa kama ile ya Gwajima.

Nahisi hatupo salama.Gaidi yupo nchini miaka na miaka kama taarifa ilivyotoka, alikuwa akifanya mazoezi kwa mfumo wa Tv.Mpaka amefuzu na akatimiza azma yake, taarifa za kiinligensia hazikupatikana.

Hatuko Salama,turudi kwenye mfumo wetu aliouanza Baba Wa Taifa Mwal.Julius Kambarage Nyerere wa kuwapa na kuwathamini tuliowaita Maraisi wa nyumba kumi (Mabalozi) ili kupata kila taarifa kila wakati.Iwe mbaya au nzuri.
 
Hata kama ni tukio la miaka kumi nyuma,hiyo ni Jinai tayari,na Jinai haina expire date,mradi ushahidi kamili upo na mtuhumiwa yupo hai Jamuhuri lazima hapo ifanye kazi yake kwa mujibu wa Sheria!!
Kwahiyo hata lissu kupigwa risasi 16 mwilini na siro kubambikia watu kesi kinyume na Sheria atajibu one day sio..?
 
Askari na watu wa afya ndo watumishi wa umma wanaongoza kwa kupenda hela....!!rushwa
Usiseme askari sema polisi.
Pamoja na kwamba zipo idara zingine zinazopenda rushwa askari na hao watu wa afya kama huna pesa wako tayari kupoteza uhai wako.

Maisha ya watu hao polisi na afya yamekuwa tegemezi kwenye rushwa na pesa haramu zipatikanazo kwa njia haramu.

Idara ya ardhi na mahakama nao pia rushwa ni sehemu ya maisha yao.
 
Kwahiyo hata lissu kupigwa risasi 16 mwilini na siro kubambikia watu kesi kinyume na Sheria atajibu one day sio..?
Duh! Umenikumbusha huyu Jamaa,kwa kweli nilisha msahau kabisa, kweli Dunia inaenda kasi sana!!
 
Usiseme askari sema polisi.
Pamoja na kwamba zipo idara zingine zinazopenda rushwa askari na hao watu wa afya kama huna pesa wako tayari kupoteza uhai wako.

Maisha ya watu hao polisi na afya yamekuwa tegemezi kwenye rushwa na pesa haramu zipatikanazo kwa njia haramu.

Idara ya ardhi na mahakama nao pia rushwa ni sehemu ya maisha yao.
Sasa Jamani tunatokaje kwenye hali Kama hii!? Watumishi wala Rushwa Kama mpo humu Jf njooni mseme ni kwa nini hamuwezi fanya kazi zenu kwa halali bila ya kudai rushwa!? Na mko tayari hata mpindishe haki ili mradi mmepewa rushwa, Tena wengine ni Mambo Safi tu na hawana hata hizi shida ndogo ndogo za kimaisha!?
 
Swali.Mimi nauliza tuu.Hiyo kazi hakuwa na nesi wa kumsaidia? Hili halina tofauti na lile la Hamza tu.Inteligensia ilikuwa wapi, Waziri alipaswa ajue.Mwezi wa 7 8 na wa 9.ndiyo taarifa inatoka tena mtandaoni.Una hakika gani kama hiyo video haikupikwa kama ile ya Gwajima.

Nahisi hatupo salama.Gaidi yupo nchini miaka na miaka kama taarifa ilivyotoka, alikuwa akifanya mazoezi kwa mfumo wa Tv.Mpaka amefuzu na akatimiza azma yake, taarifa za kiinligensia hazikupatikana.

Hatuko Salama,turudi kwenye mfumo wetu aliouanza Baba Wa Taifa Mwal.Julius Kambarage Nyerere wa kuwapa na kuwathamini tuliowaita Maraisi wa nyumba kumi (Mabalozi) ili kupata kila taarifa kila wakati.Iwe mbaya au nzuri.
Mambo yamebadilika tangu enzi za Nyerere. Hizo taarifa za kiinteligensia za gaidi utazipata vipi wakati yeye yuko nyumbani kwake anafanya mazoezi yake mwenyewe? Angekuwa anaposti kwenye website ndiyo angeweza kugundulika.

Aidha hiyo video kama siyo ya kupika basi inawezekana haikuwepo kwenye mtandao mpaka hivi karibuni ndiyo mtu ameiweka.
 
Back
Top Bottom