nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,515
- 20,005
unaanza kulegea unaitaja mahakama,sasa kama unajua kuna mahakama kwa nini mmewatangaza ni wezi?Watajulikana Mahakamani wakati uchunguzi unaofanywa wa wahusika ukimalizika.
hivi kwa nini south africa,ghana na mali wanaoongoza kwa dhahabu hawana hizo smelter according to size wanayoitaka?Kwani hizo smelter ziko fixed size maana mtu unaandaka kua hayo makinikia ni ni machache issue ni kutengeneza smelter kulingana na uzalishaji wetu wa mchanga. Halafu kua na smelter ni fursa maana kuna nchini jirani wanachimba madini na wanatumia bandari yetu kama Zambia
Hata kilimo kinatushinda Rwanda, Congo, Sudan kusini na nchi jirani hawana chakula cha kutosha tunashindwa kamata fursa ya siko
Waliowekeza hisa zao barrick/acacia sasa wanafikilia walikua wanaongopewa kwenye magawio yao kwenye mtaji . Sisi tuliosoma elimu ya kudesa tunawatetea
Hapa Tanzania kuna mda aliyesoma na hasiesoma kama wanafanana kufikiri