Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

Watajulikana Mahakamani wakati uchunguzi unaofanywa wa wahusika ukimalizika.
unaanza kulegea unaitaja mahakama,sasa kama unajua kuna mahakama kwa nini mmewatangaza ni wezi?
Kwani hizo smelter ziko fixed size maana mtu unaandaka kua hayo makinikia ni ni machache issue ni kutengeneza smelter kulingana na uzalishaji wetu wa mchanga. Halafu kua na smelter ni fursa maana kuna nchini jirani wanachimba madini na wanatumia bandari yetu kama Zambia

Hata kilimo kinatushinda Rwanda, Congo, Sudan kusini na nchi jirani hawana chakula cha kutosha tunashindwa kamata fursa ya siko

Waliowekeza hisa zao barrick/acacia sasa wanafikilia walikua wanaongopewa kwenye magawio yao kwenye mtaji . Sisi tuliosoma elimu ya kudesa tunawatetea

Hapa Tanzania kuna mda aliyesoma na hasiesoma kama wanafanana kufikiri
hivi kwa nini south africa,ghana na mali wanaoongoza kwa dhahabu hawana hizo smelter according to size wanayoitaka?
 
Sawa. Lakini unadhani hayo yote yalikuwa yakitokea bila lile jumba kubwa kujua? Nini kazi ya tiss? Kufukuzana na ndoto za kina lema? Au kina lisu? U nazungumzia kujenga smelter Leo wakati madini yamekwisha? Hao pamoja na wateule wao wavuliwe kinga wafanye e made be kama wale wezi wa Kuku kisha wamrudishe pesa zetu basi halafu waachiliwe waje tui some namba kwa pamoja
 
unaanza kulegea unaitaja mahakama,sasa kama unajua kuna mahakama kwa nini mmewatangaza ni wezi?

hivi kwa nini south africa,ghana na mali wanaoongoza kwa dhahabu hawana hizo smelter according to size wanayoitaka?
Mkuu wataaalamu wa mambohayo ya madini wanaweza kujibu swali lako vizuri.
 
The high level of betray,they live a luxurious life while they defraud our economy,wamegusa pabaya mkuu atawashughulikia 100%
 
Sawa. Lakini unadhani hayo yote yalikuwa yakitokea bila lile jumba kubwa kujua? Nini kazi ya tiss? Kufukuzana na ndoto za kina lema? Au kina lisu? U nazungumzia kujenga smelter Leo wakati madini yamekwisha? Hao pamoja na wateule wao wavuliwe kinga wafanye e made be kama wale wezi wa Kuku kisha wamrudishe pesa zetu basi halafu waachiliwe waje tui some namba kwa pamoja
Wakikubali KUTURUDISHIA hela yetu kuanzia MAAFISA na MAKAMPUNI basi nafikiri hilo lawezakuwa jambo zuri.
 
Nimeosoma huu uzi nimeamini bado ujinga upo wa kutosha. ..

Nani kawambia mabepari wanafurahi tukipiga maendeleo ya kiuchumi. ...makighafi tunazo tukipata technology unajua nini kitatokea...yutaweza kuinuka na kuondoa utegemezi. ...kama chinani

NDIO sababu wanatujaza ujinga siku zote tusiweze kusimama. ..KWA mtu anayeona mbali kujenga smelter ni jambo strategic.
 
Kweli tutasikia mengi kwa hela ipi muweze kujenga smelter wakti hata kiwanda cha toothpick mmeshindwa kujenga,kuiba muibe nyie ccm halafu leo mnakuja mnakata viuno kma mapunga,huo ujinga nenda lumumba kawaambie vilaza wenzio

tatizo wanapenda kuleta siasa kwenye mambo ya msingi
 
The high level of betray,they live a luxurious life while they defraud our economy,wamegusa pabaya mkuu atawashughulikia 100%
I agree with you that this it a high level of betrayal, And should be dealt with decisively without mercy.
La sivyo WATURUDISHIE HELA YETU
 
Ukiandika hapa jukwaani ili upate point za JF na like kibao unajiumiza mwenyewe.Andika hapa JF kwa manufaa yako na wanaokuzunguka bila kuathiri matakwa ya vizazi vyote cha sasa na vijavyo. Utaheshimika sana
Kweli tutasikia mengi kwa hela ipi muweze kujenga smelter wakti hata kiwanda cha toothpic....o
 
Ninakuunga mkono. Zaidi ya hapo, kwa analytical fingings za akina Prof. Muruma kuhusiana na kiasi cha dhahabu na madini mengine yaliyomo kwenye mchanga huo, ni wazi kuwa lazima itakuwa na faida kubwa tu. Na si lazima tununue hiyo smelter kwa cash. Tunaweza kuilipia kwa installment kidogokidogo kutoka kwa faida tutakayokuwa tunapata.
 
WEWE TETEA KIBARUA CHAKO TU ILA TMAA WOTE TUNALALA NAO MBELE - WATAISOMA NAMBA HUKO KEKO VERY SOON. Wewe Subiri Tu. Mtu Amefanya Kazi 3 years halafu ana magorofa Dar na Arusha. Mtatueleza Mali Mnazomiliki Mlizipataje Kama Sio Rushwa na Kutumiwa na Wawekezaji Kupiga Mihuri kwenye shehena za dhahabu kwenda Nje. HAKUNA ATAKAYESALIMIKA
Nikutaarifu tu kuwa mimi sihusiki na chochote kinachohusu madini. Nilitoa tu mawazo yangu tu kuhusu hili jambo. Kama ilikuwa inajulikana kuwa TMAA wanajenga maghorofa kwa nini mpaka leo hawajakamatwa? Je, kuwakamata hawa hakutasababisha ufukuaji wa makaburi ambaye hayafukuliki? Jaribu kufikiria kidogo kabla ya kuweka vidole kwenye keyboard kwani busara haifungamani na munkari.
 
Ukumbuke nyakati zimebadilika.Ndo maana Magufuli anakupigania wewe mwananchi wa kawaida.
Nani kamtaja magufuli,
Tafsir ya ww kumtaja ni ipi,
Tuongelee uzalendo na si uzalendo jina au wa kufuata mkumbo wa kauli mbiu
 
Nikutaarifu tu kuwa mimi sihusiki na chochote kinachohusu madini. Nilitoa tu mawazo yangu tu kuhusu hili jambo. Kama ilikuwa inajulikana kuwa TMAA wanajenga maghorofa kwa nini mpaka leo hawajakamatwa? Je, kuwakamata hawa hakutasababisha ufukuaji wa makaburi ambaye hayafukuliki? Jaribu kufikiria kidogo kabla ya kuweka vidole kwenye keyboard kwani busara haifungamani na munkari.
It has been decided. They wíll face the law.
 
Tuweke mikumbo na matamko ya wanasiasa na vyama,
Kauli mbiu kibao zimetuingiza chaka na hatukomi kuwafuata tu
 
Hawa wazungu wa ajabu sana hata nyama ya kitimoto inayoliwa mgodini inatoka sauzi na kenya eti hatuna teknolojia ya kufuga mbuzi wetu

Hata nyanya na mbogamboga zinatoka sauzi eti kila kitu hatuna teknolojia

Sasa kama kila kitu hatuna basi na madini hatuna teknolojia ya kuwa nayo wakatafute nchi nyingine sisi acha tuendelee kuchimba kwa moko siku kitu kikihira nchi nzima inafaidi kuliko sasa mara mrahaba sijui marahaba
Mkipewa tenda za kupeleka bidhaa mnashindwa baadaye mnamlalamikia mwekezaji mbona Dangote mlishindwa kusupply mkaa magari hamna, Nyama bucha wanakatia magogo, nyanya mnalima bila kufuata taratibu za kitaalamu hafu mnataka mkauze kwa MTU mweupe?
Wachina kwenye migodi yao wanalima na bustani za mboga mbona hamlalamiki?
 
Hawa wazungu wa ajabu sana hata nyama ya kitimoto inayoliwa mgodini inatoka sauzi na kenya eti hatuna teknolojia ya kufuga mbuzi wetu

Hata nyanya na mbogamboga zinatoka sauzi eti kila kitu hatuna teknolojia

Sasa kama kila kitu hatuna basi na madini hatuna teknolojia ya kuwa nayo wakatafute nchi nyingine sisi acha tuendelee kuchimba kwa moko siku kitu kikihira nchi nzima inafaidi kuliko sasa mara mrahaba sijui marahaba
acha uongo bwana mbona u-turn na chobo ndio masupplier wakubwa wa vyakula pale ua unataka kusema kuwa wanacho supply pale wanakula mbwa wao,anyway hata kama walisema vile je hatua gani tulichukua kwasisi mtanzania mmoja mmoja wenye uwezo wa kufanya hivyo
 
Wengi wa wanaopost humu na kujiona ni walazalendo kwa kuungakono kila kitu hawana ueledi juu ya madin na hili sekeseke la JPM. Report ile ya watalaam wa TMAA nimesoma yote kuanzia mwanzo mpk mwisho, we ngi wanaihukumu ile report kwa kosoma mapendekezo yao tu (hawasomi the whole report).

Wengi wanaosema waliohongwa ni kwamba wanahisi tu walihongwa baada ya kuona wamesema kujenga hy smelter is not viable econamically.

Hii mihemko yetu hii. Ngoja niakae kimy, wengi wa wachangiaji hapa wa ueledi finyu wa hili suala.
 
Kweli tutasikia mengi kwa hela ipi muweze kujenga smelter wakti hata kiwanda cha toothpick mmeshindwa kujenga,kuiba muibe nyie ccm halafu leo mnakuja mnakata viuno kma mapunga,huo ujinga nenda lumumba kawaambie vilaza wenzio
Bora umenisaidi kujibu, nimesoma nimefika katika nikagundua kuna ukakasi.
 
Una ushahidi hayo usemayo? Mimi nimeingia kwenye migodi kadhaa na nimekula chakula kwenye canteen zao. Vyakula asilimia kubwa vinanuliwa hapa nchini na ninajua wafanyabiashara kadhaa wanaopeleka bidhaa za chakula kuanzia nafaka, mboga, nyanya, mbuzi, nyama ya ng'ombe hadi mafuta ya kupikia. Mbona mnapenda kuzusha hata yasiyokuwepo?

Kwa taarifa yako, migodi ya Acacia amepewa tenda mtanzania AKo Group kuhudumia chakula.
Hahaha
Kwa wanachama wa ndioooo mzeee hata huyo Ako Group wanamwona ni mzungu mweusi!!!!!
 
Back
Top Bottom