Mapya ya Lissu: Risasi moja iliingia kwenye ini

Habari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini. Gazeti JAMHURI. Kwa kweli tukeshe tukimwombea maana ni kwa nguvu za Mungu tu amepona. Atakayepata habari kamili ikiwa ni pamoja na Mods mnisaidie kuiweka humu. MUNGU MPONYE LISU.

Jenny Mauro akisikia hivi roho kwatuuuuuu!!!!!!
 
Ndiyo hivyo tena mungu ni mungu tu imekula kwenu mlijua mmemaliza kila kitu aliye waumba nyie ndie aliye muumba lissu.
 
Marafiki zake Lowassa Sijui wako wapi Siku hizi?
Chadema wanamtumia Mange Kimambi kuhamasisha Michango wakati wanae Laigwan Edward Ngoyai Lowassa

Ingekuwa enzi zile ingepigwa Harambee Moja takatifu hela Zingesombwa kwa Pick up
naona unawashwa na lowassa ila ana mke na watoto watano.
 
Back
Top Bottom