Mapya kuhusu ESCROW, Shule ya Prof Tibaijuka yathibitisha kupokea pesa' in good faith'

Habari wana JF ifuatayo ni taarifa ya bodi ya wadhamini ya JOHA Trust inayomiliki shule za Babro Johnson na Kajumulo Girls kuhusu mchango wa shilingi bilion 1.6 kuchangia shule hizi kutoka kwa Rugemalira.

BARBRO JOHANSSON GIRLS’ EDUCATION TRUSTJOHA- TRUSTP.O. Box 14556, Dar e Sa!aa", Ta#$a#%a. Te!& '
55 2129883 (0) 744 596649;Fax 255 22 2129882; e-mail:
(o)a*r+*)o*"a%!.o"
TAARIA /A BODI /A 0ADHAINI 0A JOHA TRUST 20A0A3A3I NA UA 2UHUSU CHANGO 0A SHS BILIONI1.61 2UTO2A 20A B0. JAES RUGEALIRA 0A TAREHE1' EBRUARI, '14
1.Bodi ya Wadhamini
ya Shirika la Barbro Johansson Girls’ Education Trust(JOHA TRUST au BARBRO) inatoa taarifa hii kutokana na utata ulioitok!"akuhusu #chan$o %a Shs bilioni #oa #ilioni #ia sita ku#i na saba na lhaki#oa (Shs &'&'&**'****+, ) tuliou-ok!a kutoka k%a B% Ja#!s Ru$!#alira%a ./0 En$in!!rin$ and 1ark!tin$ 2i#it!d3
2.Mwanzilishi wa Shirika na Malengo yake:
Bodi ya 4adha#ini BARBROinachukua nafasi hii kufafanua k%a#ba kion$o"i %a 4aan"ilishi %a asasiy!tu ni 1h! 0rof!sa Anna Tibaiuka a#bay! -ia ni 4a"iri %a Ardhi' 5yu#bana 1a!nd!l!o ya 1aka"i3 1al!n$o na #adhu#uni ya taasisi ya JOHA TRUSTni ku!nd!l!"a !li#u k%a #toto %a kik! k%a ku%afadhili %asichana %!ny!6i-ai lakini %atokao katika fa#ilia "a ki-ato kido$o kuso#a katika shul!bora ina"o"i!nd!sha3
3.Jina la taasisi ya JOHA !"S
linatokana na ua#u"i %a %ana%ak!%aan"ilishi ku#-a h!shi#a
 
uandishi wako ni matokeo ya Big Result Now
 
Watuondelee uhuni wao wa kutaka kumsafisha mama fisadi Tibaijuka ili zile pesa alipokea kama ruzuku!!! Utapokea ruzuku kutoka pesa za wizi!!! Huyu mama kadri anavyozidi kufungua kinywa chake katika juhudi za kujitetea ndiyo anavyozidi kuonyesha upumbavu wake.
 
...... Huyu mama kadri anavyozidi kufungua kinywa chake katika juhudi za kujitetea ndiyo anavyozidi kuonyesha upumbavu wake.
Amekimbia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JAMIIFORUMS
 
Attachments

  • 1418358273572.jpg
    1418358273572.jpg
    38.6 KB · Views: 228
Mleta uzi nenda tuition ya kutumia computer ukishajua urudi hapa kuuleta uzi wako upya tena wenye kuelezea ni kwanini huyo prof alizitoa fedha benki bila kuishirikisha bodi. Na ni kwanini ziwekwe kwenye account yake kama kweli ni hiyo NGO yenu.
Msizidishe hasira za watu kwani yatosha sasa. Mkaeni kimya mviache vyombo vya uchunguzi vifanye kazi yake kwa uhuru.
 
Wamarekani wamesitisha kutoa msaada wa MCC mpaka majambazi yote yatiwe jela.
mkuu Matola, sijui tukuamini wewe au Mh. Saada Mkuya, waziri wa fedha wa serikali ya JK aliyelithibitishia bunge likiwa 'live' kwenye tv kuwa "juzi amesaini na pesa zimeshatoka"!

mkuu Matola, sijui tukuamini wewe au Mh. Saada Mkuya, waziri wa fedha wa serikali ya JK aliyelithibitishia bunge likiwa 'live' kwenye tv kuwa "juzi amesaini na pesa zimeshatoka"!

For Immediate Release

MCC Statement on Board of Directors’ Discussion of Tanzania at the December 2014 Meeting
Washington, D.C.—The U.S. Government’s Millennium Challenge Corporation (MCC) issued the following statement after its Board of Directors (Board) held its annual country selection meeting on December 10, 2014:

“MCC takes seriously all of its country partners’ commitments to combat corruption. At today’s meeting, MCC’s Board expressed continued concern over corruption in Tanzania, including the implications of the recent case involving Independent Power Tanzania Limited (IPTL). The Board noted that Tanzania has experienced a significant decline over the past seven years on the key indicator measuring efforts to control corruption. While the Board voted to allow Tanzania to continue working to develop a compact proposal—given its passage on MCC’s policy scorecards and its strong previous performance as an MCC partner—the Board stated its expectation that the Government of Tanzania must take firm, concrete steps to combat corruption before a compact is approved. Further, the Board voted to continue MCC’s engagement with Tanzania with the understanding that, in accordance with the Tanzanian State House December 9 statement, the Tanzanian government would act promptly and decisively on the late November parliamentary resolutions regarding IPTL. The Board also reaffirmed more broadly that Tanzania must undertake a series of previously agreed upon structural reforms to improve the efficiency, effectiveness and transparency of the energy sector, and more generally to deal with wider corruption.”

Source:mcc website.
 
Actually, naona kama huyu mama anazidi kujidhalilisha kwa kuja na majibu rahisi kwenye jambo gumu. Approach yake haionyeshi kuwa ni Profesa.

nasema tena USOMI+SIASA hasa za CC=Hayo ya sasa wajikuta sawa na prof tiba na prof mhongo
 
wanamwandikia rugemalila kuomba hela April 2014 na rugemalila anakubali februali 2014 na pesa wanapewa februali 2014.
this is pathetic!!!

hivi tunafanywa wajinga kiasi hiki?
 
Mama tibaijuika muogope Mungu..

bill gate, Aliko dangote, na matajiti wengine wakubwa duniani ameshawai kutoa hii pesa kwa mtu binafsi?

bakhresa ameshawahi kuchangia hii hela sehem?

kama kweli rugemalira ana roho nzuri kwa nini asisomeshe watoto yatima kibao wa kwao bukoba?

kwa nini asijenge maabara za kwenye shule za kijijini kwao bukoba?

kwa nini asichangie shule ya vilema like uhuru mchanganyiko etc akachangia shule ya waziri?

kama kweli rugemalira ana roho nzuri kwa nini akumchangia sajuki na wagonjwa wengine wanaokwama kwenda matibabu india?

kwa nini rugemalira achangie shule ya tibaijuka na asichangie ujenzi wa barabara hata za kwao bukoba?

milion 1600 unasema umepewa kama mchango..

mchango milion 1600??? mama tibaijuka muogope Mungu
 
Kwanini rugemalira asijenge maabara shule za kata bukoba nzima ili awapunguzie mzigo kwa wananchi maskini kuchanga
 
Haya ndo matokeo ya kukosa ajira kutwa nzima mpo jf mnaandika upuuzi tu wa kukaririshwa na wanasiasa uchwara...
 
Back
Top Bottom