Mapunye (Vibarango) kichwani vinatibiwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapunye (Vibarango) kichwani vinatibiwaje?

Discussion in 'JF Doctor' started by JamboJema, Nov 22, 2011.

 1. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wanangu wameugua mapunye(vibarango) na nimetumia dawa nyingi bado naona hawaponi. Nitumie dawa gani ambayo HAISHINDWI?
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ni ugonjwa wa ngozi na kwa kuanzia anza na usafi wa mwili ikiwa ni pamoja na kuondoa nywele zote; tumia sabuni zakuogea zenye tiba kwa ngozi kama detol ya maji.................na usipende kufuga nywele ndefu kwa sasa mpaka ukipona wakti huo huo maji yako ya kuoga jaribu kuyachemsha kabla hujayatumia.................unaweza kuyaacha yapoe ama ukayaoga ya moto!

  kwa watoto chunguza pia viyu wanavyotumia kwa usafi kama ni vya kushare na hsa vifaa vinavyotumika kunyolea ikiwa wanyoa nywele
   
 3. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Pole kwa tatzo hilo,jitahid kuwanyoa nyewele hao vijana wako halafu kuna dawa ya mba ya kijani ina xstics za spirit inavikausha within 1 week!ol the bect!
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Pole sana,ni ugonjwa common sana na unatibika kirahisi.
   
 5. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Pamoja na usafi kama kutumia mafuta yenye sulphur, kunyoa nywele na kutumia sabuni ya dawa , jaribu kuwapa dawa za minyoo; minyoo mara nyingine husabaisha ngozi kuharibika kwa kuota vipele.
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Wapeleke hospitali maana that is fungal disease na kuna fungus wengine wapo kwenye damu, hivo ukiwanyoa na kupaka dawa wanaisha na kurudi tena haraka wanahitaji kupima damu na kuchomwa sindano ili kuwaua hawa wadudu kwenye damu!!
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wapeleke loliondo wakapige kikombe kwa babu
   
 8. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Asanteni sana. Kila ushauri utazingatiwa!
   
 9. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Ptuuuuuuu!!!!
   
 10. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2013
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hii sio dawa ya mapunye. Labda itazuia kupata mapunye. Mwanangu anaoga Mara mbili kwa siku na sabuni za maana tangu amezaliwa na amepata mapunye alipoanza shule tu.
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2013
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Sure mapunye huwa yanaambukiza na ndiyo maana watoto hasa wadogo ambao hawawezi kujikinga huwa wanapata kirahisi. Yale mabaka ya minyoo huwa yana tofauti na mapunye. mapunye kwa pembeni yanakuwa na kama vijiupele ambavyo vinatoa majimaji ukibinya na ndivyo vinavyoambukiza kupitia majimajia yal. Yale ya minyoo huwa haaambukizi. Majani ya nyanya ukutwanga paka maji ni dawa nzuri sana.
   
 12. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2013
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kirahisi ndio nini sasa?
   
 13. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2013
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Asante kwa ushauri. Ni kweli mapunye yana vijiupele
   
 14. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #14
  Jun 21, 2013
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
 15. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2013
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
 16. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2013
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jambo Jema Dawa ambayo hata mimi sikuiamini lakini kwa kweli ilifanya maajabu makubwa na vibarango vikaisha kabisa ni hii hapa. Tafuta majani ya mmea wa pamba msugulie ktk kila kibarango au punye vizuri kabisa hayata chukua muda yatapona kabisa na hayatarudi tena. Mmea wa Pamba inawezekana ikawa ngumu kuupata hivyo unaweza pia kutumia majani ya mmea wa Nyanya (Mnyanya). Naamini atapona maana nilikua na Mdogo wangu alikua hadi anatia huruma lakini alipona na wala hayakurudi tena.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...