Mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. bilioni 35.96

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Mashirika ya Umma, baadhi ya mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. bilioni 35.96 ni kama;

a. Upotevu wa Tsh. bilioni 20.17 kutokana na kufutwa kwa madeni ya wakopaji pasipo kuwa na idhini ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Wizara ya Fedha na Mipango ambayo ni kinyume na kanuni ya 22 (3) ya Kanuni ya Sheria ya Fedha za Umma 2001

b. Upotevu wa makusanyo yenye thamani ya Tsh. bilioni 7.23 yaliyokusanywa nje ya mfumo wa malipo ya Serikali GePG na hayakupelekwa Benki

c. Upotevu wa mapato yenye thamani ya Tsh. bilioni 2.25 kutokana na msamaha usiostahili uliotolewa kwa Kampuni ya Saruji ya Mbeya.

Ripoti ya Uwajibikaji 2021
 
FB_IMG_16383867178622130.jpg

Ety upotevu
Tumepigwa hapa
 
Back
Top Bottom