Mapungufu ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano

Kitu cha kwanza hapa duniani ni kumtendea WEMA binadamu mwenzako.
"Mpende Jirani yako kama nafsi yako"
Ukikiuka agizo hili, lazima utaadhibiwa, iwe hapahapa duniani au Mbinguni.
Kama angekuwa mwema kwa Binadamu wenzake bado angekuwa hai.
(Lema alishamwonya hakusikia)
Dunia ni ya Mungu acheni dharau na kuinua mabega, hata uwe Papa wa Kanisa Katoriki.

Asanteni sana Maraisi wa Tanzania wa Dini ya Kiislamu.
Mnakuwa wapole na wanyenyekevu kipindi chote cha Mamlaka yenu.
Mungu bado anawapa zawadi ya UHAI.
Wenye masikio na wamesikia.
 
Ni makosa makubwa kuchagua MTU aliyekulia katika ufukara uliotopea kuwa Kiongozi
Hata yeye alilijua hilo ndiomana selikali yake ilisheheni viongozi wengi waliotoka familia za kifukara ili mafukara nao wajione ni sehemu ya hili Taifa.
 
Ndugu yangu mmoja alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akituhumiwa kukwepa kodi kwenye biashara zake. Lakini yeye anadai ni kesi ya kisiasa. Mwaka 2015 aliombwa kusupport kampeni za CCM akakataa lakini alifadhili kampeni za UKAWA. Anaamini hiki ndicho kilichomponza.

Mwaka 2018 alikamatwa na baadhi ya biashara zake kufungwa, na nyingine zikashindwa kujiendesha kutokana na makadirio makubwa ya kodi.

Baada ya kukaa gerezani miaka miwili akaona bora akiri ili atoke (the lesser evil). Wakati wa majadiliano na DPP akatakiwa kulipa zaidi ya 200M. Akakubali kufilisi biashara zake chache zilizobakia ili "kununua" uhuru wake.

Mwaka jana tulimtembelea gerezani mimi na Dr.Cyrilo. Tukamuuliza kwanini umeamua kukiri? Huoni itakuwekea doa? Kuna nchi utazuiwa kwenda kwa sababu ya "criminal record" ya uhujumu uchumi. Kuna fursa za biashara utashindwa kupata. Kwanini usingepambana ushinde badala ya kukiri.

Huku akilengwalengwa na machozi akajibu, nachotaka kwa sasa ni kuwa huru tu. Nikishatoka hiyo "criminal record" anaweza kuja Rais mwingine akaifuta, huwezi jua. Tukaagana, akarudi zake nyuma ya nondo.

Licha ya kukiri na kuwa tayari kulipa (plea burgaining) lakini bado hakuachiwa. Aliambiwa jalada bado lipo kwa DPP.

Wiki iliyopita amefutiwa mashtaka yote na kuachiwa huru, bila kulipa chochote. Siku anaachiwa wala hakujua kama angeachiwa. Ilitumwa "remove order" gerezani, akaenda mahakani bila kubeba chochote maana haikua siku ya kesi. Hata wakili wake hakuwepo.

Miguuni alivaa kandambili. Alipofika mahakamani akaambiwa, Jamhuri imekufutia mashtka yote na haina nia ya kuendelea na kesi. Akadhani ni mtego ili wamkamate tena. Akajaribu kutoka nje ya mahakama, lakini hakuna mtu aliyehangaika nae.

Akaita taxi, ikampeleka nyumbani. Mkewe akapata suprise ambayo hakuitegemea. Akaanguka, alipoamka akaanza kulia. Watoto walipomuona baba yao nao wakalia. Majirani wakaja na kumkumbatia, wakilia. Nyumba ikatawala machozi.

Hii nchi imepitia kipindi kigumu sana. Kuna jinsi Mungu anamtumia mama Samia kuponya majeraha na kuokoa mioyo iliyopondeka. Biblia inasema Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wowote (Mithali 14:34).!
 
Chama cha siasa kikishindwa uchaguzi mara 3 kinageuka kuwa cha kigaidi..

Ndiko hii saccos chadema inakoelekea
 
Mzimu wake bado unakuchapa mbela na nyuma
Thubutuuu!! Mwana wa Mungu achapwe na shetani???...kweli kizazi cha nyoka kiko wazi mpaka kesho.........hivi unacheza weye na Moto wa Yesu?!!! sema fyooo!! na wewe ufe km yeye!! ukachapwe na hayo Mamizimu yenu!!..

limtu liko jehanamu huko?? sasa linaingia awamu ya pili ya mateso mdomo umelikauka ajili ya kiu kalinunulie maji japo uhai.........
 
Msichagua tena kiongozi kutoka familia fukara na umasikini uliotopea ni hatari
kabisa mkuu!!! aliona ndo kapata hata hafikiriii....Ya Mungu yeye ni twende tu...sijui aliona raha gani kununua Midege ileee!!....ambayo hata trip za Nairobi tu hapo kazi kuzipata!! na watanzania wengi hawasafiri saana Duniani km wakenya!

Umaskini wake ulimfanya aone km kuwa na ndege tu basi utapata trip za nje faster........hakujua kuwa kuna ushdani huko!
 
Sijawahi ona kama magu
Mzee alijua kunipa stress huyu
Mtu niliemtegemea akapunguzwa kazini kutokana na sekta binafsi kuyumba kwa malimbikizo ya kodi na mzunguko wa pesa mtaani mdogo watu ajira hawana so mauzo yakishuka itabidi wapunguze wafanyakazi waweze kwenda na budget

.imagine mtu anaeleta mboga nyumbani anarudi anawaambia mi kazi sina tena mpaka mambo yakikaa sawa labda ntaitwa tena.
ile feeling..
Hilo zee! acha liendelee kufa tu!!..... halikuwa na maana hata kidogo!.... kamwe sintopiga kura tenaaa maishani mwangu.......angalia sasa eti lilinunua mijidege miiingi ambayo haifanyi kazi!! mafundi hakuna!! wahudumiaji hakuna, wateja hakuna

Marubani wale wenye siasa kali wazee! wa midevu sijui aliawaokota wapi yaani Taasisi ile ya Rais full vituko vya kutisha/vichekesho!

lilikuwa linaona raha kupaa na kutua Chato ulimbukeni tu!! lilidhania urais ndo kila kitu yaani mililichukia mpaka na ardhi aliyo zikwa naichukia vilevile, kamwe sinto kaa nipite ile ardhi mpaka siku naihukumu!!!

zile hela walizopunguzwa wa kuonewa ndo zili nunua mindege cash, hapo akala cha juu! tena wazi wazi!.....kibaya zaidi kuua watu weusi/wamatumbi wale wenzake hovyo!! hapo ndo nilikaa chini!!!...nikamfikiria kaburu alivokuwa mzuri! kuuumbe tulilea kaburu mweusi! tiii!

Aliua weusi wenzake kama panzi tu!! ni afadhali hata Kaburu aliua kwa staha!! na yeye kaburu aliruhusu uchunguzi lkn mpaka leo Bongo hakuna cha uchunguzi ni kimyaaaa!!! sijui wanaogopa nini?? ? Maskini wa Mungu mtu umetaka kumuua akapona!!

Basi jifunze kuwa muungwana utubu kwa Mola wako, sasa eti akamnyima na mshahara wake!!!! eti afe njaa?? matokeo yake yeye ndo hajala leo ni mwaka na nusu yuko kaburini au......yaani Bongo mshukurugeni ivo ivo nikikamata urais mie

Lazima Lisu analipwa hela zake zooote!!.....,... ntaruhusu uchunguzi huruuu kwa wooote walio kufa kuanzia mauaji ya Zanzibar...lile kaburi linafunguliwa kesi!! make hakustaaf yule!! alikuwa bado hana kinga ya mstaaf Rais....

Sheria za nchi ya ccm, zina sema Ma Rais wakistaafu wasishitakiwe!! sasa yule hakustaafu...shtaka linamuhusu....afukuriwe tu aburuzwe tu mahakamani!! Mzimu wake si upo??...then tutazika upyaaa!

Niliona kabisaa tumepewa jini Magu!...ilikuwa natamani nikashindilie ile mahiti visu viiingi mfululizo....mfyuuuxvxczxzcz!
 
Hata yeye alilijua hilo ndiomana selikali yake ilisheheni viongozi wengi waliotoka familia za kifukara ili mafukara nao wajione ni sehemu ya hili Taifa.
Unaonaje alivyoumiza masikini??/anzia bodi ya mikopo,kutoongeza mishahara hao masikin,kutiajir masikini!!!nk
 
Kwanza jiwe/magufuri hakupendwa kiviiile ktk uchaguzi wa tangia mwanzo na alilijua hilo!!,,,so urais alipo upata alikuwa na kisasi cha kuwakomesha kwa watu wa DSM hasa!! ..............kila zoezi baya baya kabisa liliwagusa wan daisalalma kwanza,......

alivo wa ajabu hasira zake zikamfanya ahamishie shughuli za serikali na Ikulu haraka haraka kwenda Dodoma.... ili DSm ife kibudu.... ikose mapato ghafla lkn ndo kwaaanza DSM ikachipua km uyoga! mpaka leo wamerudi...sasa dodoma wanaenda na kurudi eeee!

.na wengi walio muunga mkono ni wa mikoani tena pia si weeengi kivile....... Rais wa visasi!! alipitishwa pitishwa tu kiuwizi na akina Nape!! ajabu sasa akawachukia kwa risasi ya moto!!

sijui alikuwa anaenda kanisani kushindaaa yule.....akashindwa kujua kuwa Bibilia ilitamka miaka miingi huko kuwa ''ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga'' tu...hiyo ni kauli ya Mungu haibadriki.

alikuwa na kauchoyo flani hivi ktka uongozi.......hata kampeni za awamu ya pili alifanya anavo jua yeye!! hakushirikisha wakongwe Bali ni wanavijiji ambao hawakujua mbinu kitu!! matokeo yake kapigwa na kitu kizito ambacho hakujua kimetokea wapi!!

kifupi jiwe hakujua kuwa nchi hiyo ina wenyewe!..akina nani walio kabidhiwa hirizi za mwenge!.......tambikoa la uhuru hakujua linafanyika wapi!!...Amani hiiyo hakujua ni kwa nini alienda kichwa kichwa....ndo matokeo yake yaleee!!
 
Kabisa
 
Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea nikiwa nimeshaondoka.

1. Alizika uhuru wa vyombo vya habari na kutia saini sheria kandamizi kwa vyombo vya habari. Vyomno vyote vililazimishwa kumuandika kwa kumsifu na kumpamba, kilichothubutu kumkosoa kilifungiwa.

2. Alitumia nguvu nyingi kupambana na upinzani na kutesa wanasiasa wa upinzani kwa kuwafungulia kesi za uongo mpaka leo bado wengi wapo jela kwa kesi za kisiasa za kubambikiziwa.

3. Aligawanya nchi kwa misingi ya ukabila, ukanda, uchama na udini na ubaguzi wa kijinsia. Serikali yake ilijaa watu wa kanda ya ziwa na 75% ya serikali yake ilijaa wasukuma watupu

4. Alikua na ubaguzi wa kijinsia na aliendekeza mfumo dume. Wanawake walikua 17% tu ya mawaziri katika serikali yake.

5. Alihakikisha wakuu wa vyombo vya ulinzi wanatoka kanda ya ziwa ili kumlinda likitokea lolote, CDF - Mara, IGP - Mara na CGP - Geita na CGF - Mwanza. Madikteta wote hufanya hivi maana wanajua watu wa kwao hawawezi kuwageuka.

6. Hakupandisha mishahara kwa wafanyakazi wa umma kwa miaka yote 6 ya utawala wake.

7. Hakutangaza ajira mpya katika kipindi chote cha utawala wake. Waalimu waliomaliza vyuo mwaka 2015 hadi leo wapo mtaaji jobless.

8. Aliua sekta binafsi kwa kutoza kodi kubwa, na kuharibu mazingira ya biashara. Hoteli nyingi za kitalii zimekufa kama vile Ngurdoto, Impala, Naura Spring na nyingine zimegeuka hostel za wanafunzi kama Landmark ya Ubungo.

9. Alipunguza mzunguko wa pesa mtaani na kuhakikisha matajiri wanaishi kama mashetani.

10. Katika utawala wake waliibuka watu wasiojulikana ambao waliteka, kujeruhi na kuua watu wasio na hatia. Watu hao walimpiga risasi Tundu Lissu mchana kweupe na mpaka leo hawajakamatwa.

11. Aliwapa nguvu baadhi ya viongozi kama vile Makonda na Sabaya kutesa na kuumiza wananchi kadri walivyojisikia. Makonda alishambulia kituo cha CMG kwa mitutu ya bunduki lakini hakuchukuliwa hatua yoyote. DC Sabaya majuzi kampiga diwani wa Sombetini nusura kifo.

12. Alifuta fao la kujitoa na kusababisha watumishi wengi wenye mikataba ya muda mfupi kuishi maisha magumu baada ya ajira zao kukoma.

13. Katika serikali yake Wapinzani walionekana maadui na sio watu wenye mawazo mbadala. Waliteswa na kufunguliwa kesi za uchochezi. Wengine walipotezwa na hata kuuawa. Alitamani upinzani ufe.

15. Katika utawala wake maiti 17 ziliokotwa ufukwe wa Coco na nyingine 6 ziliokotwa mto Ruvu kwa pamoja zikiwa zimefungwa kwenye sandarusi, na baadhi zikivuja damu.

16. Aliharibu mahusiano ya kidiplomasia na mataifa mengi ukimwenguni. Serikali yake ilichoma vifaranga vya kuku kutoka Kenya na kutaifisha ng'ombe waliovuka mpaka kuja Tanzania.

17. Alisababisha wanasiasa wa Tanzania wakimbie nchi na kuishi uhamisho kama wakimbizi wa kisiasa wakiwemo Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu na Godbless Lema.

18. Alitumia mabavu kulazimisha ushindi kwenye uchaguzi wa 2020 na kuhakikisha CCM inashinda majimbo yote. Alipora ushindi wa upinzani kwenye majimbo mengi kwa mtutu wa bunduki.

19. Alitumia sheria ya uhujumu uchumi kutesa wapinzani wake kisiasa na wafanyabiashara aliokua na kisasi kwa mfano Rugemala na Lema wa Elerai Construction.

20. Alipenda kuabudiwa, kutukuzwa na kuogopwa. Wote waliomnyenyekea aliwapa vyeo.

21. Aliamini mawazo yake ndio sahihi na hakutaka kushauriwa kwenye jambo lolote. Aliwahi kusema yeye hapangiwi cha kufanya.

22. Alipenda kuonekana mcha Mungu japo kiuhalisia ni dikteta katili aliyetisha. Alimpoteza Ben Saanane baada ya kuhoji kuhusu PHD yake.

23. Alitangaza kuwa Tanzania haina corona na akataka watu wasivae barakoa wala wasikubali chanjo kutoka nje ya nchi.

24. Alipeleka miradi mingi ya maendeleo kijijini kwake Chato kama uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, benkiz barabara za lami na mbuga ya wanyama ambayo haikua na wanyama ikabidi kuhamisha kutoka mbuza zingine.

25. Aliingilia mihimili yote ya dola ikiwemo mahakama na bunge. Aliwazawadia vyeo vya ujaji mahakimu waliowafunga wapinzani jela.

26. Aliigeuza Tanzania kama mali yake binafsi na katika kila mradi alipenda atajwe yeye. Aliamini akiondoka hakuna atakayeweza kuendeleza yale aliyofanya. Bunge liliwahi kupendekeza kumuongezea muda wa kutawala atakapomaliza mihula yake miwili, kumbe Mungu ana mipango yake hata hiyo miezi 4 hakumaliza ya kura alizoiba

1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato

Jana usiku nilienda kumtembelea mzee mmoja ambaye ni mtu wangu wa karibu anae jihusisha na biashara ya madini,akinipa story fupi tu ya rafiki yake ambayo ilinihuzunisha sana.

Jamaa yake alikua na zaidi ya bilioni 7 kwenye account yake bank mwaka jana mwanzoni,alipigiwa simu na branch manager aende urgently na alipofika pale mida ya mchana akajulishwa kwamba account yake imepigwa spana na tra (task force). Ikabidi aende tra mkoa ili kufuatilia hiyo ishu.

Tra mkoani wakamwambia inabidi awasiliane na TRA makao makuu,ikapigwa sim akapewa appointment saa tatu asubuhi next day. Akapanda ndege jioni hiyo kuelekea huko, asubuhi kafika mapema kasechewa kweli kweli then akaingia ofisini kuzungumza na team roho mbaya.

Wewe ndio fulani? Ndio, inaonekana una pesa nyingi sana kwa account ila hulipi kodi. Jamaa akasema akasema kodi nalipa na ninapata tax clearance kila mwaka mbona sielewi? Wakamwambia ana option 2 TRA wachukue 5B wamuachie 2 au akalete vielelezo huku wakiendelea kuzuia hela zote. Vielelezo visipo jitosheleza watachukua hela zote pamoja na kesi ya uhujumu uchumi.

Pale ulikua huruhusiwi kwenda na mwanasheria wala accountant,jamaa akatoka nje kufikiria kwa muda akaona isiwe nongwa akawaachia 5B lakini pia akaambiwa arudi CCM kwa kujitangaza kwenye media kwa sababu alikua supporter mkubwa wa lowasa uchaguzi wa 2015.

Matajiri wengi wa mawe wameumizwa sana huko kanda ya kaskazini ila wamekaa kimya tu,bora huyu jamaa amekufa maana alikua anatupeleka shimoni/motoni kiuchumi na kijamii.

Akasema nyumba za kimara zibomolewe lakini za mwanza zisibomolewe maana ni wapiga kura wake....Maiti zilikua zinaokotwa baharini enz za mwendazake

Nitamkumbua Magufuli kwa ukatili wake wa kutisha

1. Kuvunja nyumba za wananchi wa Kimara - Mbezi bila chembe ya huruma ila wale wa mwanza aliwaachia

2.Kupora Korosho za wananchi wa mikoa ya kusini kwa mtutu wa bunduki, hii hali iiwatia wananchi umasikini

3. Bila kujali kuwa watu wameshahudumu serikalini kwa muda mrefu na wanategemea kustaafu, akapitisha hoja ya uhakiki na kuwafukuza maelfu ya watu hao Huku akiwaacha bila kuwagusa wanasiasa na wateule wake katika hilo zoezi

4. Kubabikizia watu kesi za uhujumu uchumi, kuwatesa kupitia mfumo wa mashitaka na kuzisababishia familia zao maumivu makubwa na hali ngumu

5. Kuendelea kuwashikilia mamia ya masheikh walioko jela huku akisamehe wabakaji akina Babu Seya

6. Kukataa kuwapa watumishi wa serikai stahiki zao kwa wakati, ikiwemo kupandishwa madaraja na nyongeza za ishahara

7. Kuharibu chaguzi zote zilizofanyika chini ya serikali yake, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, Alidhuluu haki ya wananchi kuchagua viongozi wao

8. Magufuli alitunga sheria kandamizi, na kuvuruga misingi ya katiba. Kafanya kia jitihada kulifanya bunge liwe butu, kuiweka mahakama mfukoni etc

9. Magufuli alikuwa na kauli mbaya zisizo na staha mfano "sisomeshi wazazi, serikali siyo iliyoleta tetemeko, baki na mavi yako nyumbani, nitapiga mashangazi.. etc"

10. Alikuwa na miradi kadhaa au mpango wa miradi kadhaa ambayo ni white elephant mfano, uwanja wa ndege Chato, Midege,Mpango wa Uwanja wa mpira Chato

11..Magufuli alikuwa mkabila, huhitaji kuwa mwanasayansi wa elimu ya jamii kuona kuwa teuzi zake ziliaia sana watu wa kanda na kabila lake.

12. Magufuli alikuwa haheshimu katiba waa sheria pale zinapokinzana na anachokitaka yeye, mfano haki ya kufanya siasa kwa vyama vya siasa iliyokuwepo kikatiba hakuiheshimu

13. Magufulu hakuthubutu na wala hakujali kufanya uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na waliompiga risasi Lissu

Kwa hiyo mimi nakichukulia kifo cha Magufuli kama nafasi muhimu ili Taifa letu lipone.

Na sisi kama Taifa, tumeona kwa macho yetu namna katiba ya sasa ilivyokuwa hatari kama tunampata mtu mmoja asiyejali, ambaye ana element za udikteta, basi tuitumie nafasi hii kuliponya Taifa

Tangulia Magufuli, uwongo mbaya sitokumiss na sijawahi kukupenda kwa style ya uongozi wako, ninatamani Taifa lisipate Kiongozi mwenye mapungufu ya aina yako, ni mapungufu hatari kabisa
.
.
UPDATE

Ndugu yangu mmoja alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akituhumiwa kukwepa kodi kwenye biashara zake. Lakini yeye anadai ni kesi ya kisiasa. Mwaka 2015 aliombwa kusupport kampeni za CCM akakataa lakini alifadhili kampeni za UKAWA. Anaamini hiki ndicho kilichomponza.

Mwaka 2018 alikamatwa na baadhi ya biashara zake kufungwa, na nyingine zikashindwa kujiendesha kutokana na makadirio makubwa ya kodi.

Baada ya kukaa gerezani miaka miwili akaona bora akiri ili atoke (the lesser evil). Wakati wa majadiliano na DPP akatakiwa kulipa zaidi ya 200M. Akakubali kufilisi biashara zake chache zilizobakia ili "kununua" uhuru wake.

Mwaka jana tulimtembelea gerezani mimi na Dr.Cyrilo. Tukamuuliza kwanini umeamua kukiri? Huoni itakuwekea doa? Kuna nchi utazuiwa kwenda kwa sababu ya "criminal record" ya uhujumu uchumi. Kuna fursa za biashara utashindwa kupata. Kwanini usingepambana ushinde badala ya kukiri.

Huku akilengwalengwa na machozi akajibu, nachotaka kwa sasa ni kuwa huru tu. Nikishatoka hiyo "criminal record" anaweza kuja Rais mwingine akaifuta, huwezi jua. Tukaagana, akarudi zake nyuma ya nondo.

Licha ya kukiri na kuwa tayari kulipa (plea burgaining) lakini bado hakuachiwa. Aliambiwa jalada bado lipo kwa DPP.

Wiki iliyopita amefutiwa mashtaka yote na kuachiwa huru, bila kulipa chochote. Siku anaachiwa wala hakujua kama angeachiwa. Ilitumwa "remove order" gerezani, akaenda mahakani bila kubeba chochote maana haikua siku ya kesi. Hata wakili wake hakuwepo.

Miguuni alivaa kandambili. Alipofika mahakamani akaambiwa, Jamhuri imekufutia mashtka yote na haina nia ya kuendelea na kesi. Akadhani ni mtego ili wamkamate tena. Akajaribu kutoka nje ya mahakama, lakini hakuna mtu aliyehangaika nae.

Akaita taxi, ikampeleka nyumbani. Mkewe akapata suprise ambayo hakuitegemea. Akaanguka, alipoamka akaanza kulia. Watoto walipomuona baba yao nao wakalia. Majirani wakaja na kumkumbatia, wakilia. Nyumba ikatawala machozi.

Hii nchi imepitia kipindi kigumu sana. Kuna jinsi Mungu anamtumia mama Samia kuponya majeraha na kuokoa mioyo iliyopondeka. Biblia inasema Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wowote (Mithali 14:34).!
Rudi uone kinachoendelea sasa wewe biniiadam

Utawala wa kudhibiti majangili kama myinyi hivi, utaupenda vipi?

Kwa sasa inawafaa sana watu nyie
 
Back
Top Bottom