Mapungufu ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano

Kwani ina miezi mingapi toka akuchie?

Nadhani huu ni mwezi wa tatu kwahiyo una miezi 6 mingine ndio ujifungue.
Kwahiyo unajisifu mama yako ana mimba ya marehemu ina miezi mitatu?

Hivi na wewe hautamani kuwa na mimba kama ya Bi Mkubwa wako?

Btw kwenye urithi mtoto wa kambo upo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni dhahiri hiyo awamu tulipoteza vibaya sana.Kwa yoyote mwenye akili timamu kamwe hawezi kusifia huo utawala labda kama alinufaika au anatatizo la utu,ubinadamu na upendo ndani yake.Ikiwezekana hiyo awamu ifutwe kwenye kumbukumbu za nchi.
 
Kabisa mkuu

Na kushindwa kumtoa baada ya kugundua udikteta wake. Badala yake wakakubali kutumika kuendeleza na kuulinda udikteta. Wakatumika kuharibu chaguzi kwa ajili ya dikteta.
Tatizo ni vyombo vyetu vya usalama kushindwa kubaini kuwa Magufuli hakuwa mtazania halisi, kwa asili yake ukatili ni kama uji na mgonjwa
 
Kiukweli sijui nisemeje ila Alituumiza sana hebu fikiria Niliemtegemea alifukuzwa kazi alafu haijatosha nyumba ambayo tulikuwa tuitegemee badala yake yule tuliemtegemea nayo Ikabomolewa kwakuwa imeonekana ipo barabarani.

Tukasema okay ngoja tudili na biashara biashara nayo tuliotaka kuanzisha tukaambiwa tulipe kiasi fulani cha Kodi bila hivyo ni kufungwa.

Chaajabu hata sijui kilichotokea muhimili wa familia Akafungwa ndani kwa kosa la Kuhujumu Uchumi tumehangaika na kesi weeeee mpaka anakuja kutoka Hatuna kitu chochote kile.

Kwakweli hakuna anaeweza kunishauri kuniambia eti Awamu ya tano ilikuwa nzuri labda watu wa kanda ya ziwa maana wao walimuona Mungu. Sisi wengine tulikosa kila kitu hata tulichokuwa nacho kidogo.
 
Kwel magufuli alikuwa jiwe yana mpaka leo ameenda zake lakin bado wajane wanatumia nguvu nyingi kumchafua na bado anawashinfa
Jpm ni binadamu wakwanza kushinda vita ikiwa tayari kashafariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwel magufuli alikuwa jiwe yana mpaka leo ameenda zake lakin bado wajane wanatumia nguvu nyingi kumchafua na bado anawashinfa
Jpm ni binadamu wakwanza kushinda vita ikiwa tayari kashafariki

Sent using Jamii Forums mobile app
sorry wako malegend ambao wameifanyia kazi dunia kabla ya magufuli hata kuzaliwa. na wanakumbukwa.. wengine hadi keenye viyab vya science wametajwa.

yeye si wakwanza. rekebisha
 
Hakua mtanzania yule jamaa

Back
Top Bottom