Mapungufu ya Kiuandishi ya Rasimu ya Katiba

IsangulaKG

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
706
386
Baada ya kupitia kwa muda mrefu rasimu hii , nimegundua kuwa:
Rasimu ina makosa mengi sana ya kimpangilio kwa maana ya kuwa mambo mengi sana yamechanganywa changanywa katika sura tofauti tofauti. Japo inawezaq kutafsilika kuwa imefanyika hivyo kwa kufanya msisitizo kwa mfano katika mambo ya haki za binadamu, kuchanganya changanya mambo kunapunguza ubora wa katiba yenyewe. Itakapoandikwa katiba yenyewe ni vema tuhakikishe kuwa mambo hayachanganywi changanywi katika aya tofauti ili kuwe na mtiririko sawia.
 
Back
Top Bottom