Mapungufu ya hotuba ya rais 2010/2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapungufu ya hotuba ya rais 2010/2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Jan 4, 2011.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  mojawapo wa suala nililo liona lina mapungufu katika hotuba ya kumaliza mwaka 2010 na kukaribisha mwaka 2011, swala la umeme na utatuzi wake. moja ya mapungufu aliye ongelea yeye mwenyewe, kushindwa kwa mwekezaji wa mtwara kuzalisha mw300 za umeme wa mtwara ambao sasa anadai mbia? kesha patikana wa kuzalisha huo umeme, pia kushindwa kwa kiwira coal mines kuzalisha hizo 200mw.
  sasa kwa kiongozi makini mwenye nia ya kweli ya kuikomboa tanzania hawezi kukabidhi uhai wa nchi kwa wawekezaji ambao wakati wowote wanaweza kuweka uhai wa nchi kautata kama wawekezaji hawa walivyo fanya, labda kama nia ya kuweko kwake adarakani iwe ni kuwatajirisha hao wawekezaji kwa kioo cha ubinafsi shaji
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mbona hakuzungumzia habari za wikileaks?
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kushindwa kwa mwekezaji mmoja alisema ni kwa nini alishindwa. Na kapatikana mwingine.

  Huwezi kuendesha dunia ya leo bila kuwa na wawekezaji. Nyerere alijitahidi kuwekeza viwanda (viwili vitatu) na vingine kuvifanya vya uma. Leo viko wapi?
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  madhara yake umeyaona? na ndio hayo hayo ya rites leo hii wakisema bei ya kukodi behewa ni fulani au wagome kuendesha treni nini yatakuwa madhara kwa nchi? kiongozi mwenye busara huwezi kuiweka nchi rehani kwa vitu kama hivi.
   
Loading...