Mapungufu kwa Wagombea wote Tanzania haya hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapungufu kwa Wagombea wote Tanzania haya hapa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutunga M, Sep 7, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Gazeti moja la kila juma la kanda ya ziwa katika toleo lake la leo limeripoti mapungunfu kwenye kampeini za wagombea kuwa HAWATAKI KUULIZWA MASAWALI kutoka kwa wapiga kura
  soma mwenyewe kupitia blog inayomiliki gazeti hilo
  gonga hapa
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hayajaainishwa vizuri tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji kampeni hapa Tanzania usiozingatia haja ya kuwepo midahalo ya wazi baina ya wagombea kwa minajiri ya kutoa nafasi ya maswali
   
 3. minda

  minda JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  HAWATAKI KUULIZWA MASAWALI kutoka kwa wapiga kura. bila shaka wapiga kura nao wana mapungufu; badala ya kuuliza kuhusu sera wenyewe hukimbilia maisha binafsi.
   
Loading...