Mapungufu haya, yatia kinyaa

Huyu mtu alishasema hafuati katiba bali ananyoosha nchi, namsubiri tu amjibu Rungwe nasi tufahamu ni wapi palipo pinda?! Bora hata angesema anapindisha nchi maana ilinyooka mno.
 
Huyu mtu alishasema hafuati katiba bali ananyoosha nchi, namsubiri tu amjibu Rungwe nasi tufahamu ni wapi palipo pinda?! Bora hata angesema anapindisha nchi maana ilinyooka mno.
Rungwe alishasemaga,'
huwez kuendesha nchi kwa VISASI'
 
"Mithali 29:23 kiburi cha mtu kitamshusha chini ila yeye aliyemnyenyekevu rohoni atapata heshma...

Sio Maneno yangu Ni Maneno yanayopatikana ktk kitabu cha Bible
 
Back
Top Bottom