Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 690
Najua Mandela anakumbukwa na ataendelea kukumbukwa kwa mazuri na mengi aliyofanyia wa-afrika kusini ,afrika na dunia kwa ujumla.
Lakini wakati tukitafakari mazuri aliyofanya na kuhimizwa kuiga yote pia hatuna budi kujadili yale makubwa ambayo hatupaswi kuiga au kuyafanya kwa maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla.
katika mitandao kuna taarifa nyingi na manoni juu ya mandela hasa kutoka kwa watu wa nje ya afrika kusini.
akiwemo baraka obama aliyeandika katika mtandao wa twiter kwamba 'We will never see the likes of #Mandela again"
wengine soma hapa No doubt many will find Zizek's comments on Mandela's limitations tasteless. I think they're important: : DougHenwood
Kwa nini 'wazungu' wamechukulia kifo cha mandela kama pigo nk
nini kipo nyuma ya hili.
Katika kudadavua huku na kule nimedokkezwa na baadhi ya taarifa za mitandao kwamba mandela hakufanya kama mugabe wakati wa utawala wake.bali waliwamehe 'wazungu' wakati wa utawala wake na wala hakuwanyanganya mashamba mali na kadhalika baada ya uhuru.Lakini aliwaacha 'wa-afika kusini' hoi biin taabani.
Hivyo naomba hapa tujadili mazuri na mapungufu aliyokuwa nayo au aliyofnaya mandela!
Byabato