Mapumziko ya Chato Safari Hii Yatamtumbua Nani?

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,660
1,676
Kila akirudi toka mapumzikoni Chato, JPM lazima afanye utumbuaji majipu. Hivi sasa yuko Chato kwa ajili ya mapumziko, atakapo rudi itakuwa zamu ya akina nani kutumbuliwa?

Hakika Matumbo Moto.
 
>>>>Maghembe lazima aondoke kama Faru John alivyoondoka kimya kimya
 
Back
Top Bottom