Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,727
Hawa watu nawashangaa sana maana kazi yao ni kuwachonganisha vijana wasio na ugomvi kisha wanawapandisha ulingoni na vijana kuanza kutwangana huku wenyewe (mapromota) wakiwa wanawaangalia tu nje. Kitendo hiki si cha kiungwana kwani kuna wakati mabondia wengine wanaumizwa na wengine wanapoteza maisha. Nachukua fursa hii kuwalaani na kulaani kila mtu anayeunga mkono upuuzi huu.
Huu si mchezo...... Mwenye sikio na asikie.
Huu si mchezo...... Mwenye sikio na asikie.