Maprofesa Wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maprofesa Wetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amanikwenu, Jan 18, 2010.

 1. A

  Amanikwenu Senior Member

  #1
  Jan 18, 2010
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naomba mnisaidie. Ni mafanikio yapi tumeyapata toka kwa Maprofesa wetu kwa mwaka uliopita wa 2009?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 18, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Tumepata mafanikio haya

  [​IMG]
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Jan 18, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,596
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  maprofesa gani? walio vyuoni au serikalini?
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ama wale wa tiba za Asili ie Prof Maji Marefu......?
   
 5. A

  Amanikwenu Senior Member

  #5
  Jan 18, 2010
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Waberoya,

  Walio vyuoni kwa upande mmoja na walio serikalini kwa upande mwingine.
   
 6. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Au wa mitishamba?
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Jan 18, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,596
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  swali gumu kaka, wakati tunajadili issue za PhD holder fake, nikasema tuwe na chombo cha ku-monitor hawa wataalamu, wasipodeliver tujue tatizo liko wapi!

  kama hatuna sehemu ya kupata information ni vigumu kujibu swali lako, maana katika utendaji kuna positive change za muda mfupi na muda mrefu! wakiwa wanafanya kazi kama EL issue za njia tatu tungewasikia wengi.

  swali lako gumu, lakini inshort, Tanzania ni nchi pekee katika sayari hii ambayo haiwatumii wataalamu wake!!globalisation nayo inaweka obstacle ya taifa kutotumia wataalamu wake, aids/loan za projects mbalimbali nayo inasababisha nchi yetu kutotumia wataalamu wake.
   
 8. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Swali lako ndugu yangu liko too general maprofesa wepi wa sekta ipi ya uchumi kilimo mifugo au wa vyuoni au kuna maprofesa wengine wakienda Nigeria wiki moja akirudi ukimpa laki eti izae milioni umeliwa nao wanaitwa maprofesa kwa fani yao hao ndio mimi nawaelewa zaidi maana nimekumbana nao.
   
 9. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kaangalie takwimu za walio graduate ndio kazi yao kubwa hiyo kufundisha na kama tunao wakutosha huko kwenye individual subjects. Shughuli za kusaidia jamii huwa wanahitaji governmnet funds to do their research. Kuna mada kule kwenye JAMII INTELLIGENCE mdau amelalama na tafiti za experts kuishia kupigwa vumbi tu. Sasa hata sijui tutapima vipi huwezo wawasomi wetu iwapo mapendekezo yao hayana thamani in the first place.
   
 10. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,187
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Kamuulize Profesa Baregu atakupatia jibu zuri!
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ma-prof wa kitanzania wanasubiri mpaka waambiwe wafanye kitu fulani! wanapenda kufarijika kwasababu yeye ni prof basi inatosha. hawapendi kujiendeleza. mi nimeona ma-prof fulani hivi ni wakongwe lakini bado wanachimba nondo na kufanya tafiti mbalimbali wao kama wao na wana-publish majibu yao katika sites kama vile 'sciencedirect' etc....hawa wa kibongo sijui kama wanafanya hivi vitu! kuna prof mmoja yuko wizarani nampa big up sana kwani nimeshakumbana nae sana tu katika publication. Anajitahidi kwakweli. Pia kuna prof mwingine yuko chuoni Ardhi aah ni noma! anajitahidi kwa kweli....hawa wengine wanapasha viti vya ofisi joto tu......jamani prof fanyeni kitu basi tuone kweli hizo degrii zenu zinatumika......
   
Loading...