Uchaguzi 2020 Maprofesa Baregu na Safari mko wapi kuisaidia CHADEMA?

Hivi huyo jiwe lenu lilidefend Thesis yake ya Phd kwa lugha gani? huwa naogopa anavyokimbia midahalo ya kimataifa halafu unakumbuka mzee museven alivyomsaidia kipindi kile na waandishi wa habari?
Lugha,lugha,mkuu mtu anaeweza akazungumza kwa lugha yake mwenyewe ana uwezo wa kuifanyia hata manjonjo.Kama Magufuli anahutubiwa watanzania kiswahili kuna tatizo gani?Mbona Norgeian,Japanese,Chinese, Arabs,wanafanya Phd kwa lugha zao,kwani kufanya kwa lugha zao kunapunguza ujuzi au maarifa yao?
 
Sasa wewe! Badala ya kusema wako wapi wewe unahesabu walioko CCM. Wewe sema wako wapi? Au umekumbushwa machungu?
Wapo ndani ya timu ya mikakati ya ushindi! Huoni mambo yanavyoinyookea Chadema? Huoni Polepole anavyoweweseka kujibu hoja za kisomi zilizojaa hekima ya wazee hao?
 
Baregu na Safari hawawezi kuambatana na wahuni!

Kama unakumbuka Baregu alianza kujitenga na chadema baada ya ule uhuni wa kina Gwajima kuwa washenga wa kumleta EL, na wenye akili kina Slaa kukataa kula matapishi yao.
Tusiwe wachoyo wa fadhila wandugu.
Tunawakumbuka watu wakati wa shida zetu tu.
Prof Baregu ni mgonjwa kwa zaidi ya miaka miwili sasa, na amepooza upande mmoja baada ya kupata stroke.
 
Tusiwe wachoyo wa fadhile wandugu.
Tunawakumbuka watu akati wa shida zetu tu.
Prof Baregu ni mgonjwa kwa zaidi ya miaka miwili sasa, na amepooza upande mmoja baada ya kupata stroke.
Mbona CHDEMA hawajawahi sema lolote juu ya hili? Au wanaiga mtindo wa CCM?
Prof. Baregu hata kama alishajiondoa CDM walistahili kukumbuka mchango wake na kumuenzi kwa madogo aliyowafanyia. Tunalo tatizo ktk vyama hivi vya siasa na ndo maana sitaki kusikia mtu ananililia eti alipigwa risasi 16. Wanapokuwa na matatizo ya kisiasa, wanataka nchi nzima iwasaidie kulia. Tulioko nje ya siasa tukipata taabu hawajali, labda tu liwe na maslahi ya kisiasa.

CCM walifanya hivyo hivyo kwa Kingunge. Hata msiba wake waliona kama hauwahusu! Lowasa aliporudi CCM Mbowe akaigiza hadi zungumza yake ya ugonjwa, akiwa jukwaani utadhani kamkosea Mungu. Yeye mwenyewe hatujawahi kumuigiza kwa maumbile yake. Stupid!
 
Hivi huyo jiwe lenu lilidefend Thesis yake ya Phd kwa lugha gani? huwa naogopa anavyokimbia midahalo ya kimataifa halafu unakumbuka mzee museven alivyomsaidia kipindi kile na waandishi wa habari?
Hivi wewe kiingereza unakijua? Unaweza onesha msg yoyote uliyowahi leta hapa JF kwa kiingereza? Mbona kila siku michango yako ni kwa kiswahili? Ukiona thrd ya kiingereza unakuwa bubu!
Should we say you are useless for failing to have any hang of English language? fallacy!
 
Hivi nyinyi mnaosema LISU ndio raisi mnaongea kutoka moyoni au mnatania tu!?
Nimejaribu kupanga serikali ya Lisssu, nimejikuta naishia kicheko tu;
Rais Lissu, Makamu Mwalimu, Waiziri mkuu Mbowe, Spika ni Msigwa, Mambo ya ndani Lema, WIzara ya fedha Sugu,.... Jamani! Hiyo ni serikali ya dunia ipi?
 
Chadema hii-hii iliyofanya Mgombea rais wa CCM kwenda kujificha uvunguni kila baada ya siku 5 na kumtuma Polepole aje kulia-lia mbele ya media??
Wanamuonea sana Polepole. Si wangemtuma MUSIBA tu! amueleze risasi hizo zilizompiga niza kuwindia ndege au hii hii SMG tunayoifahamu.
 
Hawa jamaa wana roho ya paka.Dah wanachukua dola!!!?
Nimejaribu kupanga serikali ya Lisssu, nimejikuta naishia kicheko tu;
Rais Lissu, Makamu Mwalimu, Waiziri mkuu Mbowe, Spika ni Msigwa, Mambo ya ndani Lema, WIzara ya fedha Sugu,.... Jamani! Hiyo ni serikali ya dunia ipi?
 
Yote Tisa,Kumi ni Haki, Amani na Upendo.
Tumuombe Mwenyezimungu atujaalie yaliyo mema...Amiiin
 
Chadema hii-hii iliyofanya Mgombea rais wa CCM kwenda kujificha uvunguni kila baada ya siku 5 na kumtuma Polepole aje kulia-lia mbele ya media??
Dunia ililizwa na Hitler. Tanzania tukalizwa na Idd Amin. Cambodia wakalizwa na Khmer Rouge. nk.
Mtililko huu unaonesha watu wenye akili timamu hulizwa na watu wa hovyo hovyo, wasiojitambua.
 
Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Mko wapi ndugu zangu?

Kwenu CHADEMA, kama hata hawa mliwapoteza, basi kaeni tayari kupotea gizani. Hawa walikuwa taa yenu kisiasa. Siasa za ubunifu wa mitaani hamtafika kokote. Siasa ni sayansi na tayari mlikuwa naye profesa Baregu, mwalimu wa sayansi ya siasa nchini. Hizo sera za kurekebisha sheria kila siku majukwaani, angeachiwa profesa Safari awasaidie.
BAREGU amekufa leo.

Pole kwa wapenda mageuzi na yule waziri aliyemfukuza huyu prof pale UDSM , laana itamfuata mpaka kizazi cha nn,
 
Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Mko wapi ndugu zangu?

Kwenu CHADEMA, kama hata hawa mliwapoteza, basi kaeni tayari kupotea gizani. Hawa walikuwa taa yenu kisiasa. Siasa za ubunifu wa mitaani hamtafika kokote. Siasa ni sayansi na tayari mlikuwa naye profesa Baregu, mwalimu wa sayansi ya siasa nchini. Hizo sera za kurekebisha sheria kila siku majukwaani, angeachiwa profesa Safari awasaidie.
Siwasikii CHADEMA juu ya msiba huu.
 
Back
Top Bottom