Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,698
- 4,693
Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Mko wapi ndugu zangu?
Kwenu CHADEMA, kama hata hawa mliwapoteza, basi kaeni tayari kupotea gizani. Hawa walikuwa taa yenu kisiasa. Siasa za ubunifu wa mitaani hamtafika kokote. Siasa ni sayansi na tayari mlikuwa naye profesa Baregu, mwalimu wa sayansi ya siasa nchini. Hizo sera za kurekebisha sheria kila siku majukwaani, angeachiwa profesa Safari awasaidie.