Uchaguzi 2020 Maprofesa Baregu na Safari mko wapi kuisaidia CHADEMA?

Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
5,698
4,693
Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Mko wapi ndugu zangu?

Kwenu CHADEMA, kama hata hawa mliwapoteza, basi kaeni tayari kupotea gizani. Hawa walikuwa taa yenu kisiasa. Siasa za ubunifu wa mitaani hamtafika kokote. Siasa ni sayansi na tayari mlikuwa naye profesa Baregu, mwalimu wa sayansi ya siasa nchini. Hizo sera za kurekebisha sheria kila siku majukwaani, angeachiwa profesa Safari awasaidie.
 
CCM na maprofesa kibao lakini bado imezama na kukwama kwenye tope, ninyi so mlisema 2020 uchaguzi hutakuwepo, saizi unawakumbuka wakina baregu, utakoma, kwani ninyi wakina process Mwandosya wako wapi waje kuokoa jahazi linalozama?
Sasa wewe! Badala ya kusema wako wapi wewe unahesabu walioko CCM. Wewe sema wako wapi? Au umekumbushwa machungu?
 
Baregu na Safari mulikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CDM iliwakataa au muliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Muko wapi ndugu zangu?..
Ndo muamini Mungu yupo na anaishi. Pamoja na hayo yote mnayosema CCM, mamilioni ya watanzania wanazidi kuwaunga mkono Chadema na mwaka huu hapo October, historia kuu inaenda kuandikwa kwa watanzania kukifanya CCM kuwa Chama pinzani!
 
Baregu na Safari hawawezi kuambatana na wahuni!

Kama unakumbuka Baregu alianza kujitenga na chadema baada ya ule uhuni wa kina Gwajima kuwa washenga wa kumleta EL, na wenye akili kina Slaa kukataa kula matapishi yao.
Chadema hakuna msomi aweza waunga mkono wasomi waliiunga mkono enzi wapo akina Dr Slaa ,Profesa Baregu na Professor Safari tu
 
Ndo muamini Mungu yupo na anaishi. Pamoja na hayo yote mnayosema CCM, mamilioni ya watanzania wanazidi kuwaunga mkono Chadema na mwaka huu hapo October, historia kuu inaenda kuandikwa kwa watanzania kukifanya CCM kuwa Chama pinzani!
Kama chadema mna mamilioni basi CCM ina mabilioni
FB_IMG_1600979145558.jpg
 
Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Mko wapi ndugu zangu?..

Maajabu Simba anamshauri Kondoo jinsi ya kuishi?

Yaani mtu ambae hujawahi kua Chadema,you dont know how it feels like to be on Chadema's shoes,upo hapa kumshauri Chadema how to be Chadema?

Wewe ni kichaa grade one yaani!
 
Unajitekenya ...wasomi 70% wapo na Lisu,Hawa wengine 30% Ni wale wa majalalani ,wengine CUf,CCM ,NCCR na kwa Ubwabwa!
Uongo mlioutumia kushinda kisiasa Mlifanikiwa tu enzi za miaka kumi ya Kikwete safari hii mumekwaa kisiki
 
CCM na maprofesa kibao lakini bado imezama na kukwama kwenye tope, ninyi si mlisema 2020 uchaguzi hautakuwepo, sahizi unawakumbuka wakina Baregu, utakoma, kwani ninyi wakina Professa Mwandosya wako wapi waje kuokoa jahazi linalozama?
Mwandosya ni professor wa Engineering (Electrical) angeona jahazi kweli linazama angejitokeza kufunga umeme likae vizuri.
 
CHADEMA zimebaki akili zinazoendana na UROPOKAJI tu! Hata Mnyika nadhani kaanza kuchoka maana kwa kweli kuropoka anajilazimishaga tu.
 
Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Mko wapi ndugu zangu?

Kwenu CHADEMA, kama hata hawa mliwapoteza, basi kaeni tayari kupotea gizani. Hawa walikuwa taa yenu kisiasa. Siasa za ubunifu wa mitaani hamtafika kokote. Siasa ni sayansi na tayari mlikuwa naye profesa Baregu, mwalimu wa sayansi ya siasa nchini. Hizo sera za kurekebisha sheria kila siku majukwaani, angeachiwa profesa Safari awasaidie.
Yupo mapumzikoni kama mgombea wenu
 
Back
Top Bottom