Maprofea waachane na siasa

Uduvi

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
738
518
Imedhihilika maprofessor wote walioingia katika siasa wameprove failure,tukianza na kapuya,salungi,muongo na tibaijuka ifikie hatua sasa hata professor akiteuliwa kushika bafac ya kiuongozi kisiasa akatae ili tu kulibda heshima yake na ya professional yake.ni mtazamo tu,usichangie kwa chuki
 
Umemsahau pia Prof. Mbilinyi! Chezea siasa Wewe!!
 
Imedhihilika maprofessor wote walioingia katika siasa wameprove failure,tukianza na kapuya,salungi,muongo na tibaijuka ifikie hatua sasa hata professor akiteuliwa kushika bafac ya kiuongozi kisiasa akatae ili tu kulibda heshima yake na ya professional yake.ni mtazamo tu,usichangie kwa chuki

With the all due respect, this statement or experience rather, falls in the fallacy of generalization. What about Prof. Mark Mwandosya, Wangari, Saitoti, Prof. Bill Clinton, Prof. Barack Hussein Obama... Tuangalie profiles za professors ambao wamewahi kuwa viongozi duniani... Wapo naughty profs, na perfect profs.
 
Sio maprofesa tu, kwa mfumo wa serikali uliopo na uadilifu wa mashaka wa baadhi ya viongozi ndani ya CCM na jinsi ya viongozi walio wengi wanavyopata uongozi kwa kutumia rushwa ni vigumu kupata viongozi wasafi! In short ni rahisi mtu msafi kujiingiza kwenye vitendo vya ufisadi akishajiunga kwenye siasa za CCM na serikali kwa sababu kubwa moja. Viongozi wengi wasio waadilifu ndani CCM au serikalini wanaamini kwa kusupport chama tawala, tayari unakuwa juu ya kanuni, taratibu na sheria za nchi na vyombo vyake kama polisi, usalama wa taifa au TRA. So huu ulevi uwafumba macho, masikio na pua. Hii humfanya kiongozi yoyote bila kujali kiwango chake cha elimu kufanya vitendo vya kifisadi akiwa ndani ya ofisi za umma. Bado mchakato wa katiba mpya unaendelea, hivyo sisi kama watanzania bila kujali itikadi za vyama vyetu vya kisiasa na makundi mengine ya kijamii kuhakikisha katiba inaweka misingi thabiti ya uwajibikaji kwa viongozi wa umma. Hii ni pamoja kueleza kwa uwazi na uthibiti miiko na maadili ya viongozi wa umma.
 
Maisha anayopitia mtu mpaka kuwa Professor hayaruhusu kuwa kiongozi bora wa kisiasa. Walimu wengi wanaofundisha vyuo vikuu huwa wako depressed kwa sababu tofauti. Moja ni kutofikia malengo/matazamio yao ilhali wakidhani wamewekeza kiasi kikubwa. Haya yamewahi kusemwa pia na Prof. Kitilla akitaadhalisha hatari ya Wahadhiri kukumbwa na msongo wa mawazo kutokana na kutotimia malengo yao.

Hivyo, wengi wakiingia kwenye siasa wakiwa maProfessor wanaona wanastahili nafasi hiyo kuliko mtu mwingine yoyote, na pia wanaweza kufanya/kujibu lolote kwa kuwa wana ufahamu mkubwa kuliko mtu mwingine! Kumbe siasa ni kitu kingine... Mwanasiasa bora ni yule anayeongea kwa unyenyekevu/kijinga na kutenda kwa weredi!

Maprofessor ni vizuri wapewe shughuli za profession zao au wabaki kufanya tafiti, ushauri wa kitaalam na kufundisha. Na ili wabaki huko, Mkapa aliamua kuwaboreshea maslahi japokuwa TD ameingia akaamua kuwachunia kiasa cha kupiga miayo na kukosa uvumilivu kisha kuingia kwenye siasa!
 
With the all due respect, this statement or experience rather, falls in the fallacy of generalization. What about Prof. Mark Mwandosya, Wangari, Saitoti, Prof. Bill Clinton, Prof. Barack Hussein Obama... Tuangalie profiles za professors ambao wamewahi kuwa viongozi duniani... Wapo naughty profs, na perfect profs.

I think his/her point was most of these Tanzanian Profs have proved failure!
 
Tatizo ni ulimbukeni wa watanzania.

NIliwahi kupost hapa jukwaani, watu wenye elimu extremes hawafai kuwa viongozi wazuri hata kidogo, watu wasichojua ni kuwa ili uwe proper PhD, and take a career as a university Professor, you have to limit your knowledge to a very pinpoint area of Knowledge circle.Kwa waliowahi kuchagua thesis topic ya PhD wataelewa hili, it's a torturous process.And half the time PhD thesis titles makes zero sense to anyone outside that field, this shows how specific they are.

Kila aliyepitia kwenye PhD kwenye established University Duniani si mgeni wa hii demonstration tunaiita Human Knowledge circle.

illustrated-guide-to-a-phd1.jpg

By the end of the demonstration, common question is, do you really have the strength and will to push the boundary?because its labourious and time consuming process.

Jambo la msingi hapa ni kuwa. Ili uwe kiongozi mzuri unahitaji all around knowledge na sio Specific Knowledge, PhDs wenye Specific Knowledge wanatakiwa kuwa kwenye labs ama research institutes kama Panya wakipush Boundaries of Human Knowledge at a very specific point, Sio kutawala kwani sio jinsi PhD iko structured.

narudia Tena, Ni kosa kubwa sana kupima uwezo wa unongozi kwa ukubwa wa elimu mara baada ya Masters Degree level. Chochote anacho-persue mtu baada ya kuvuka kiwango hicho ni very specific kuwa applicable kwenye uongozi wa jumla.
 
mkuu umeelezea vizuri sana....ni kweli kabisa ulichosema,
 
With the all due respect, this statement or experience rather, falls in the fallacy of generalization. What about Prof. Mark Mwandosya, Wangari, Saitoti, Prof. Bill Clinton, Prof. Barack Hussein Obama... Tuangalie profiles za professors ambao wamewahi kuwa viongozi duniani... Wapo naughty profs, na perfect profs.

Aisee, unamjua huyu jamaa? hebu fuatilia scandal zake ndo utajua unasifia nini! Huyu ni Chenge wa Kenya!
 
Imedhihilika maprofessor wote walioingia katika siasa wameprove failure,tukianza na kapuya,salungi,muongo na tibaijuka ifikie hatua sasa hata professor akiteuliwa kushika bafac ya kiuongozi kisiasa akatae ili tu kulibda heshima yake na ya professional yake.ni mtazamo tu,usichangie kwa chuki

Umesahau mmoja domo zege PR. MAGEMBE yaan sijajua ni kwanin yupo kwenye system mpaka leo yaan sijui hata umuhim wake kwenye wizara
 
Sio maprofesa tu, kwa mfumo wa serikali uliopo na uadilifu wa mashaka wa baadhi ya viongozi ndani ya CCM na jinsi ya viongozi walio wengi wanavyopata uongozi kwa kutumia rushwa ni vigumu kupata viongozi wasafi! In short ni rahisi mtu msafi kujiingiza kwenye vitendo vya ufisadi akishajiunga kwenye siasa za CCM na serikali kwa sababu kubwa moja. Viongozi wengi wasio waadilifu ndani CCM au serikalini wanaamini kwa kusupport chama tawala, tayari unakuwa juu ya kanuni, taratibu na sheria za nchi na vyombo vyake kama polisi, usalama wa taifa au TRA. So huu ulevi uwafumba macho, masikio na pua. Hii humfanya kiongozi yoyote bila kujali kiwango chake cha elimu kufanya vitendo vya kifisadi akiwa ndani ya ofisi za umma. Bado mchakato wa katiba mpya unaendelea, hivyo sisi kama watanzania bila kujali itikadi za vyama vyetu vya kisiasa na makundi mengine ya kijamii kuhakikisha katiba inaweka misingi thabiti ya uwajibikaji kwa viongozi wa umma. Hii ni pamoja kueleza kwa uwazi na uthibiti miiko na maadili ya viongozi wa umma.
Ninakuunga mkono asilimia 100. Salama ya siasa zetu na nchi yetu kwa ujumla, ni kuwasihi watanzania kushinikiza vyombo ya dola, hasa polisi, usalama wa taifa na jeshi kuwa juu ya siasa ya vyama. Chama tawala hakitakubali kuviachia, kwa sababu Dunia nzima hakuna chama au serikali iliyopo madarakani inaweka mfumo utakaokiondoa madarakani. Katika mfumo wa sasa wa kisiasa ni lazima tutambue kuwa amani na ustawii wa nchi yetu ni kuwa na vyombo vya dola imara visivyounda nje ya siasa za ushindani.
 
Siyo kweli ila wanaofanya nao siasa ndiyo wajinga kwanza wanawaonea wivu hivyo wanawatengenezea mizengwe ya lazima kuwachafua.
 
With the all due respect, this statement or experience rather, falls in the fallacy of generalization. What about Prof. Mark Mwandosya, Wangari, Saitoti, Prof. Bill Clinton, Prof. Barack Hussein Obama... Tuangalie profiles za professors ambao wamewahi kuwa viongozi duniani... Wapo naughty profs, na perfect profs.

Read between the lines, the afore mentioned aren't Tanzanian Profs (and by the way not all of who you mentioned are Profs, not professionally/leave apart the Honorary ones).
 
Imedhihilika maprofessor wote walioingia katika siasa wameprove failure,tukianza na kapuya,salungi,muongo na tibaijuka ifikie hatua sasa hata professor akiteuliwa kushika bafac ya kiuongozi kisiasa akatae ili tu kulibda heshima yake na ya professional yake.ni mtazamo tu,usichangie kwa chuki

Bado akina Prof Msolla ni kama anapumulia mashine. Ni aibu kwenda bungeni kulumbana na akina KibajajI Maji Mrefu and the likes
 
With the all due respect, this statement or experience rather, falls in the fallacy of generalization. What about Prof. Mark Mwandosya, Wangari, Saitoti, Prof. Bill Clinton, Prof. Barack Hussein Obama... Tuangalie profiles za professors ambao wamewahi kuwa viongozi duniani... Wapo naughty profs, na perfect profs.
Mkuu ni maprofessor wa Tanzania
 
Nadhani alimaanisha maprofessor wa bongo. Mark mwandosya is terrible.
 
Kuna natural born leaders..na msasa wa elimu dunia ..inakuwa inakuwa ice on the cake...ila wengine ni kama kenge tu kwenye msafara wa mamba..
 
Back
Top Bottom