Mapozi mengine bana!!!

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
Mapozi mengine bora yabaki huku huko Bongo. Maana nchi zingine unaweza kuishia kutuma ujumbe ndivyo sivyo.....

Hebu mwangalieni mshikaji aliyoko nyuma alivyojipinda. Ni kama vile analenga 'target' fulani hivi. Na aliyoko katikati ni 'amelegea' ile kinoma. Kweli Bongo ni 'fulu kujiachia'.....

ze+comedy.jpg
3201d1230909453-mapozi-mengine-bana-ze-comedy.jpg

Picha kwa hisani ya Food For Thought
 
Attachments

  • ze comedy.jpg
    ze comedy.jpg
    24.1 KB · Views: 535
mapozi hayo ya kawaida kwenye dala dala hasa mbagala......vuta picha wewe ndio wa nyuma mbele yako kasimama jimama lenye wezere la 40kg aaarg wareno lazima waje.....
 
...No wonder huko kubanana na kufaana wengine wanajikuta mbagala rangi tatu bila kukusudia :D
 
I hate daladala. Yaliwahi nikuta one day ilibidi nipitie dirishani!! nilikuwa nimekaa kiti upande usio wa dirisha. Mara mama mmoja kajaliwa NIDO akakita nido kichwani mwangu akijitahidi kufakamia oxygeni iliyokuwa haba ndania ya coaster. Kibaya zaidi alikuwa na KIKWAPA mnyama fungo mwanafuzi. I had to throw. yaa not only that there are too many Maumbas. kama hamjui Maumba I will tell a story some time na hadithi zake za kufadhaika!!
 
Staili hiyo ya kwenye daladala za Mbagala kule Zenji inajulikana kama KUGANDISHA. Kuna Jamaa yangu mmoja wa kizanzibari alinipaga stori za jamaa mmoja toka Zenji alikuja Bara na Kufikia Mbagala. Sasa alivyoona daladala za Mbagala zinavyojaza, yeye ikawam anajitokea zake mbagala huku akiwa amemvizia mwanamke mwenye tela ya nguvu na kumgandishia hadi mwisho wa daladala. alivorudi Zenji ndo akawa akisimulia kuwa ukienda bara wee wagandisha tu wala hupati shida
 
Mapozi mengine bora yabaki huku huko Bongo. Maana nchi zingine unaweza kuishia kutuma ujumbe ndivyo sivyo.....

Hebu mwangalieni mshikaji aliyoko nyuma alivyojipinda. Ni kama vile analenga 'target' fulani hivi. Na aliyoko katikati ni 'amelegea' ile kinoma. Kweli Bongo ni 'fulu kujiachia'.....

ze+comedy.jpg
3201d1230909453-mapozi-mengine-bana-ze-comedy.jpg

Picha kwa hisani ya Food For Thought

Unashangazwa nimesha wahi kuwakuta wa TANZANIA 2 wakiume ambao hawakuwa na muda mrefu tangu kufika ndani ya LONDON katika miaka ya karibu wakiwa wamekamatana mikono huku wanatembea niliwauliza hali kama kawaida unaposikia kiswahili cha Bongo kinazungumzwa nikajuwa kuwa ni watz lakini nilishindwa kuwaeleza kuwa kushika mikono kwa wanaume huku mkiwa mnatembe katika nchi hii inamaana nyingine kwa miaka ile sijuwi kwa sasa kama hilo limebadilika
 
I hate daladala. Yaliwahi nikuta one day ilibidi nipitie dirishani!! nilikuwa nimekaa kiti upande usio wa dirisha. Mara mama mmoja kajaliwa NIDO akakita nido kichwani mwangu akijitahidi kufakamia oxygeni iliyokuwa haba ndania ya coaster. Kibaya zaidi alikuwa na KIKWAPA mnyama fungo mwanafuzi. I had to throw. yaa not only that there are too many Maumbas. kama hamjui Maumba I will tell a story some time na hadithi zake za kufadhaika!!

Pole mkuu, lkn kwa wana mbagala mtu kupitisaha miezi mitatu bila kupitia mlangoni mwa daladala ni kwaida kabisa, na kushika bomba bila kigusa siti kwa miezi sita ndio normal kabisa!! Bongo!
 
...No wonder huko kubanana na kufaana wengine wanajikuta mbagala rangi tatu bila kukusudia :D
inavyoelekea nyie mabwana wataalmu sana wa kuwabana mabinti na kinamama katika daladala za mbagala so mnataka kusema kuwa kila mwenye mke mbagala mkewe atakuwa kesha fanyiwa mmbanano...........ahah ah haa haa haa haa haa aaaa..... !
 
I hate daladala. Yaliwahi nikuta one day ilibidi nipitie dirishani!! nilikuwa nimekaa kiti upande usio wa dirisha. Mara mama mmoja kajaliwa NIDO akakita nido kichwani mwangu akijitahidi kufakamia oxygeni iliyokuwa haba ndania ya coaster. Kibaya zaidi alikuwa na KIKWAPA mnyama fungo mwanafuzi. I had to throw. yaa not only that there are too many Maumbas. kama hamjui Maumba I will tell a story some time na hadithi zake za kufadhaika!!

Umenikumbusha mbali sana na story za MAUMBA! Vijana wa siku hizi hawawezi kuelewa labda uwambie kuwa huyo alikuwa mtaalamu wa TIGO!!
 
nilipokuwa naenda school jioni nikirudi shati nachomoa halafu napanda dala dala lililojaaaaa..., wthin a fraction of a second nakuwa nimefika, kesho yake asubuhi kila mtu na story yake, halafu wadada nao walikuwa wanapenda sana.
 
hela inatafutwa kwa nguvu sana.hata kukaa uchi hawa jamaa wapo tayari ili mradi wanaingiza!
 
nilipokuwa naenda school jioni nikirudi shati nachomoa halafu napanda dala dala lililojaaaaa..., wthin a fraction of a second nakuwa nimefika, kesho yake asubuhi kila mtu na story yake, halafu wadada nao walikuwa wanapenda sana.

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Ebwana uko juu mkuu..... inaonekana ulikuwa unafurahi kuwapita hao wadada... teh teh teh
 
Nini daladala za mbagala bwana, siku hizi kuna mtindo wa kupakia pikipiki uitwao MSHIKAKI! Pikipiki inachukua watu wanne hadi watano!
Bongo kuna ubunifu kitu!
 
inavyoelekea nyie mabwana wataalmu sana wa kuwabana mabinti na kinamama katika daladala za mbagala so mnataka kusema kuwa kila mwenye mke mbagala mkewe atakuwa kesha fanyiwa mmbanano...........ahah ah haa haa haa haa haa aaaa..... !

...tatizo ni pamoja na wale kina mama 'watundu' ambao kwa makusudi kabisa wanakwenda style za mugongo mugongo kwenye madaladala...
picture-0361.jpg ..:D
 
Mapozi mengine bora yabaki huku huko Bongo. Maana nchi zingine unaweza kuishia kutuma ujumbe ndivyo sivyo.....

Hebu mwangalieni mshikaji aliyoko nyuma alivyojipinda. Ni kama vile analenga 'target' fulani hivi. Na aliyoko katikati ni 'amelegea' ile kinoma. Kweli Bongo ni 'fulu kujiachia'.....

ze+comedy.jpg
3201d1230909453-mapozi-mengine-bana-ze-comedy.jpg

Picha kwa hisani ya Food For Thought

'Your perception depends on your ability to think'
 
Kwa kweli watu wamejaa sijui nisema kasumba hivi kuona sehemu fulani haifai na sehemu ingine ndio inafaa. Tazama sasa ,kila kitu mbagala mbagala ,
- kujazana kwenye madaladala mbagala
- kurukia kwenye madirisha mbagala
-kunuka vikwapa mbagala
-foleni ndefu mbagala
-wanaoondaka mapema kwenye mpira u/taifa mbagala
-wagaga wa kienyeji mbagala
-maisha duni mbagala
-kutokuwa namabenki mbagala
-kutokuwa na atm mbagala

na wengine waongezee kila kitu mbagala ,kukosekana kwa taa bara barani ,mbagala,
kutokuwa na matangazo barabarani mbagala

lakini cha kushangaza ni kwamba hukuna sehemu ya wenye magari mengi kupita mbagala !

Hivi ni kwanini ?
 
Back
Top Bottom