Mapovu toka CCM; waandishi wamenangwa na Tundu, tusubiri tamko

Mimi mpaka sasa sijaelewa kitu kimoja, kwanini ni CDM ndio wameshupalia hiyo tume na sio familia ya mfiwa. Afadhali hata waandishi wa habari wangeshupalia tungeelewa.

Kwa sababu mauaji yametokea kwenye mkutano wao na polisi wanataka kuaminisha wananchi kwamba CDM ndio wafanya fujo!
Lazima ukweli ujulikane. Fuatilia takwimu za mauaji yaliyofanywa na polisi tangu mwaka 2010.
 
Yani CDM wao kazi yao kudandia kila tukio ilimradi wajijenge kisiasa, hata ile issue ya waislamu walitaka kudandia lakini waislamu wakawastukia.
 
Kwa hiyo wewe ni Mwandishi wa habari au ndugu? Mbona una washwa washwa pia?

Kama CDM wanashupalia, ni kwa sababu alifia kwenye vikao vyao,infact kwenye SHINA la Chadema. Sasa wewe mtu akafia kwako, unabaki kusema "mie siyo mwandishi wa habari" na wala siyo NDUGU na kwa hiyo hili halinihusu.

Kichwa kitumike zaidi ya kuotesha nywele jamani.

Jibu mujarab kabisa.
 
Yani CDM wao kazi yao kudandia kila tukio ilimradi wajijenge kisiasa, hata ile issue ya waislamu walitaka kudandia lakini waislamu wakawastukia.

Kuna tamko rasmi la Waislamu kuthibitisha unachosema dhidi ya CDM?? Umekaa kimbeambea tu na stress zako za kuwa jobless
 
Sijui ni kutoelewa au ni makusudi wakuu,
Mwanzo kabisa wa taarifa hiyo nimeeleza imetoka wapi!!

Very unfortunate bado mnanishambulia mimi!
cull |kəl|
verb [ trans. ] (usu. be culled)
select from a large quantity; obtain from a variety of sources : anecdotes culled from Greek and Roman history
Kiganyi wewe ni msanii mzuri sana kusanii kwenye jamii ya wasiowachambuzi wa mambo. Yawezekana kweli umeumizwa na matamshi ya Lisu lkn mimi sidhani kuwa ndiyo hivyo na kwa kiasi hicho.

Naijua mipango ya kisiasa ya chama chako ktk kutafuta na kufanya kila litakalowezekana ili kupata fursa ya kurejesha heshima ya chama chenu ktk jamii.

Hapa unachokitafuta ni siasa ya majitaka ya kutaka kumchonganisha huyu dogo lisu na waandishi wa habari. Mbinu unayotaka kuitumia iko very weak kaka.
 
Tundu Lissu kasema ukweli na ukweli unauma, kwamba tume haina mamlaka/uhalali wa kisheria na wajumbe wake hawana weledi wowote kwenye suala nyeti kama hili.
 
Wewe mwenyewe ni mwandishi kilaza! Kama hata ku edit habari ya unaöa ùvivu!
Hebu angalia hapo "mfalme jua" ndio nini?
Eti tume ya MV BUKOBA ilienda vizuri, hebu weka ripoti yake hapa tuisome, manake sijawahi kusikia wahusika wamehukumiwa kisheria!
Kajipange bwana! Unaacha kuhamasisha wenzio kuibana polisi, unakwenda kuhangaika na CDM! Shame on you!
 
Mimi mpaka sasa sijaelewa kitu kimoja, kwanini ni CDM ndio wameshupalia hiyo tume na sio familia ya mfiwa. Afadhali hata waandishi wa habari wangeshupalia tungeelewa.

Kwani wewe unategemea nini? Kwa nini wasiishupalie wakati MAGAMBA wameshawatupia dongo kuwa wao CDM ndo wahusika! Iundwe tume ili tujue ukweli. Wewe Majebere, waogopa nini?
 
Back
Top Bottom