Mapokezi - Ziara ya Waziri Mkuu Arusha

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,721
515
Gazeti la Mwananchi leo (26/11/2010) limeweka picha ya mapokezi ya Waziri Mkuu Arusha Airport. Picha hiyo pamoja na wengine inawaonyesha Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema na aliyekuwa mbunge wa zamani na waziri wa mazingira Batilda Buriani ktk mapokezi hayo.

Swali! Si kwa ubaya bali kwa ufahamu tu naomba kufahamu Batila akiwa mstari wa mbele kabisa alikwenda kwenye mapokezi wa WK kama nani ? Nihabarisheni!
 
Kwa wakati huu hakustahili kuwepo kwenye Protocol ya kumpokea. Mkuu wa Mkoa alikuwepo? Isijekuwa keshachukua mkoa
 
mhh huko arusha kuna kazi haswa...yani juzi tu tayari pinda anaenda arusha
 
Back
Top Bottom