Mo-TOWN
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,722
- 515
Gazeti la Mwananchi leo (26/11/2010) limeweka picha ya mapokezi ya Waziri Mkuu Arusha Airport. Picha hiyo pamoja na wengine inawaonyesha Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema na aliyekuwa mbunge wa zamani na waziri wa mazingira Batilda Buriani ktk mapokezi hayo.
Swali! Si kwa ubaya bali kwa ufahamu tu naomba kufahamu Batila akiwa mstari wa mbele kabisa alikwenda kwenye mapokezi wa WK kama nani ? Nihabarisheni!
Swali! Si kwa ubaya bali kwa ufahamu tu naomba kufahamu Batila akiwa mstari wa mbele kabisa alikwenda kwenye mapokezi wa WK kama nani ? Nihabarisheni!