Mapokezi ya Tundu Lissu, mjini Morogoro leo

Asante mtoa post kwa picha za mafuriko! Asante wanaMorogoro a.k.a mji kasoro Bahari! Sasa ndugu zetu wa CCM eti wao wakitembea kimyakimya wanataka wapinzani nao watembee kimyakimya! Tangu lini upinzani ukafundishwa siasa na CCM? Nachojua mimi siku zote ccm ndo huwa wanaiga mambo CHADEMA mfano ni matumizi ya Helikopta kwenye kampeni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom