Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

Julius Nyerere: Democracy, Zanzibar, and African Unity.

Anzia dakika ya 4 kumsikia Nyerere.

Hapo kwenye demokrasi Nyerere anadanganya huku anajua kabisa anasanganya.

Kashamsima John Stuart Mill, kashakaa ma Fabian Society debate ya Edinburgh kitambo sana, kwa hiyo si mtu ambaye hakujua kwamba kunyima uhuru wa vyama vingi ni kuminya demokrasia.

Hata majibu yake kwenye hiki hayako convincing. Uzuri style ya mahojiano si kama ya "Hard Talk".

Hapa alikuwa anahojiwa, akichemsha anaachiwa muandishi anawnda kwenye swali lingine.

Nyerere angewaachia tu kina Zuberi Mtemvu na Congress yao waendelee, angewatandika kwenye chaguzi kwa kura kihalali na kuonesha watu wanapenda TANU

Hii nafikiri ni moja ya sababu Kambona aligombana na Nyerere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli. He had everything going for him - intellect, charisma, power of the incumbency, etc.

Jingine nililogundua kuhusu Nyerere, inaonekana alikuwa ni mwalimu mzuri sana.

Alikuwa na uwezo mzuri sana wa kuelezea mambo kiasi kwamba kama wewe ni mwanafunzi wake, akikufundisha halafu usielewe, basi mwenye tatizo ni wewe.

Nadhani pia caliber ya walimu wa enzi hizo ndo dizaini hiyo ya Nyerere.

Inavyoonekana, enzi hizo watu waliokuwa wanaingia kwenye fani ya ualimu ni wale waliokuwa vipanga kweli kweli.
 
Kambarage alionyesha sisi Africa tunaweza, Je, wewe na mimi tunafanya nini kuendeleza yale yote mazuri ambayo alifanya?
 
Watu kwa fix ni balaa, eti Malkia alivyokuwa anamsalimia Mwalimu akiwa amevaa groves Mwalimu akampa kifimbo... ndipo Malkia akavua Groves then Mwalimu akakubali kumpa mkono.
 
Documentary zote nimeangalia ila sijawahi kukutana na hiyo kadhia sijui waliitoa wapi.....
 
Back
Top Bottom