Mapokezi ya Ndege za ATCL

kunze

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
398
469
Naangalia hapa ZBC TV,naona top layer ya uongozi wa Tanzania,upo Zanzibar.

Kwani Ikija kimya kimya bila live coverage,Kuna ubaya?

Gharama kubwa sana za kuzimwagia maji
 
Naangalia hapa ZBC TV,naona top layer ya uongozi wa Tanzania,upo Zanzibar.

Kwani Ikija kimya kimya bila live coverage,Kuna ubaya?

Gharama kubwa sana za kuzimwagia maji
Angefanyia huku mngesema anategemea za Mkwere amechanganya na zake ameenda huko mmekasirika
 
Tanzania huwa tunajiabisha tu...
Yaani ki Airbus tu ambapo Kuna watu wanazinunua kama private, Kuna Nchi zinaagiza ndege 200 kwa wakati mmoja lakini hawana hizi mbwe mbwe...

Hivi ni ushamba au umasikini...

Airbus ndogo hizo wanataka mpaka dunia ione... Wanaudhi...

Viongozi kwenye hio sherehe wasimame wote kwa pamoja wajipige kifuani mara 7, waseme sisi ni ......

Haiwezekani 21st century taifa linafanya sherehe kulete Airbus ndogo wakati watu wanapeleka vehicles sayari ya mars... Hivi hatuoni aibu?
 
Back
Top Bottom