Mapokezi ya ndege, Rais Magufuli: Wasiofurahia ujio wa ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner, watapata tabu sana

Hongera Rais , hakika IPO siku utakumbukwa na wanaokupiga mawe

wapigania uhuru ndiyo hukumbukwa....siasa ni dirty game. Mrithi wake atakuwa wa chama chake na ndiye atakuwa wa kwanza kutusahaulisha mazuri anayoyafanya.
 
Mkimaliza kupokea.. mtoe ofa ya mwezi wanyonge wasafiri bure.
Waonje ladha ya kodi zao.
Inabidi tuandikishe daftari la wanyonge ili tujue ni akina nani hasa. Maana tunapoenda isije idadi ya wanyonge ikazidi mwisho ikawa nchi ya wanyonge. Kabla ya yote inabidi tupate ufafanuzi wa kina wa maana ya wanyonge kisha tuwatambue wanyonge wote nchini isije ikawa tu propaganda kumbe mafisadi ndo wamejibatiza jina la wanyonge halafu wana endelea kuinyonya nchi yetu.
 
Mafisadi unawajua kwa picha au audio?..
 
mtu mzima kabisa ambaye unategemea usafiri wa anga kwenda majuu huko duniani unasimama kabisa hadharani na ndevu zako nyeupe unapinga serikali kununua ndege kweli huwa sielewi mtu kama huyo anataka nini haswa serikali ifanye wakati kila sekta serikali inajitahidi kuboresha,afya,elimu,maji barabara nk
 
Mzigo wa kutunza hili dudu bila kulifanyisha biashara ni sawa na uhaini unaagiza ndege hata wataalamu wa kuliendesha hakuna, stupid
 
Back
Top Bottom