Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Hahahaa Hivi Siasa Unaijua wewe Wenzenu CCM wanawapiga Kura nyie mnamashabiki Lowassa aliondoka na Asilimia zake 30 kazirudishwa CCM so mwaka huu mkipata 20% mshukuru sana asee Maana CCM itawapiga kichapo cha mbwa koko
Lissu hawezi kupata more than 18 per cent
 
Mwende wapi na fisadi mharibifu wa uchumi wa nchi na watu wake?
Nginja nginja mpaka ikulu ni mwendo wa Tanzania ya kijani.
20200910_133923.jpg
 
Hawa ni wapiga kura wenye kadi nyie endeleeni kujidanganya na hao chokoraa wavuta bhangi na majizi ambao hawana muda wa kujiandikisha na akijiandikisha kadi hatunzi na akitunza haitatumika kwa uchakavu tena huko boda ndio balaa wengi hawana kadi ila muendelee kuwazarau wazee,wamama , mabibi na wanavijiji wanaobebwa ambao ni wengi kuliko hao waliojitokeza,tunduma ina wakazi wasiopungua laki moja hao waliopo hapo hata 10000 hawafiki jiulize wale mabibi,wamama na mababu wako kiasi gani jumlisha vijana wanaojitambua kazi mnayo chadema mtashinda tu kizazi cha mkapa kitakapoisha.
 
Mh JPM akipiga kambi hapo Tunduma mtashangaa umati mkubwa wa ajabu.. Subirini, sisemi Lissu hajapata watu leo, ila wa kwetu CCM utapita huo
 
Mh JPM akipiga kambi hapo Tunduma mtashangaa umati mkubwa wa ajabu.. Subirini, sisemi Lissu hajapata watu leo, ila wa kwetu CCM utapita huo
Wa tunduma atakusanya hadi wakazi wa msumbiji ili kujibu mapigo ya Lissu. Mzee hashindwi kuwekeza pesa nyingi mradi tu TAL asimzidi kete
 
Back
Top Bottom