Mapokezi ya Diamond Platnumz Mombasa ni kufuru

Nimeona za Nairobi hawajazipost hata video yake
Hata picha
Bado Lukamba anaedit video za show zinakujia punde. Zingatia hivi Nairobi ni ngome halali ya Wasafi while Ali Kiba ngome yake ni Mombasa kwa Joho, nilitegemea show ya Mondi Mombasa ingebuma coz Kiba kule anakubalika sana. Nimeishi Nairobi na Mombasa kwa hiyo najua ninachoandika hapa.

Naamini huko Embu atakuwa kachakaza sana mondi sababu ana fans hadi Rais wa jamhuri ya Kenya.
 
Ni nani alieimba nyegeee.
Daimondi na kijakaz wake.
Kwanini aimbe nyegeee.
hatujui.
mtu huyu hatauona ufalme wa mungu
 
Back
Top Bottom