Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

Siku chache baada ya tume ya taifa ya uchaguzi, NEC kutangaza majimbo mapya 26 ya uchaguzi Tanzania bars, aliyekuwa Mbunge wa mbozi Magharibi, David silinde amewaomba wakazi wa mji wa Tunduma wamkubalie kuachana na jimbo jipya la Tunduma na badala yake akagombee jimbo la Momba ili akaongeze nguvu ya upinzani vijijini.

Siasa ni hisabati ukikosea njia na kanuni huwezi pata jibu sahihi.

Jamaa atasoma ushauri wenu hapa.

Source: ITV blog July 15
 
Tunduma tayari ni himaya ya CDM, kamanda lazima akafyeke msitu mpya huko Momba!! naunga mkono hoja asilimia mia moja.
 
Chadema watashinda jimbo la Tunduma, CCM itashinda jimbo la Momba.Kupanga ni kuchagua.
 
Uamuzi sahihi, hapo Tunduma agombee huyo diwani wa Tunduma wa CHADEMA ana nguvu sana hapo Tunduma.
 
Mkuu mkuu sijakupata wazo lako hapa hususani hii kupanga ni kuchagua

Ni uamuzi wa Silinde kugombea jimbo la kushinda au jimbo la kushindwa.Labda ni ushujaa kutopenda kula vilahini maana Tunduma mtu yeyote wa Chadema atashinda.
 
Tatizo la hapatunduma kunawatu wanataka kugombea na wananguvu kuliko sirinde hiyo ndo maana kasoma alama za nyakati mmoja wapo ni diwani wa mji watunduma kiufupi sirinde ametolewa kama mbuzi wakafara kwan huko anakoenda hana nguvu maeneo yahuko wamejaa uccm na wanamchukia kwasababu alipokuw mbunge aliijar sana tunduma kulko huko vijijini ambak ndiko alikozaliwa
 
Uamuzi sahihi, hapo Tunduma agombee huyo diwani wa Tunduma wa CHADEMA ana nguvu sana hapo Tunduma.

hebu nipashe mombo inahusu maeneo Gan mkuu

Je huko anaweza kujishinda Kama alivyo na asilimia nyingi katika mji huo muhimu kabisa wa kibiashara?
 
Tatizo la hapatunduma kunawatu wanataka kugombea na wananguvu kuliko sirinde hiyo ndo maana kasoma alama za nyakati mmoja wapo ni diwani wa mji watunduma kiufupi sirinde ametolewa kama mbuzi wakafara kwan huko anakoenda hana nguvu maeneo yahuko wamejaa uccm na wanamchukia kwasababu alipokuw mbunge aliijar sana tunduma kulko huko vijijini ambak ndiko alikozaliwa

Hili ndilo nililolisema, kwenda kugombea vijijini Momba ni sawa na kuamua makusudi kutorudi bungeni.

Hiyo ya kuwepo watu wengine Tunduma waliojizatiti yaweza ikawa sababu vinginevyo mwanasiasa yeyote wa upinzani hawezi iacha Tunduma ili akajimalize Momba.
 
Ushauri wangu kwa kamanda ni kwamba jaribu kucheki uelekeo kwamba mara baada ya mgawanyo huo je upande upi umejuwa na makamanda weng? baada ya hapn unaweza ukajua uelekee upande gani
 
Akajenge utawala bora huko vijijin awachie hapo mjin ambapo amesha safisha magamba huu ndo ukombozi hakuna kulala.
 
Huyo diwani anakesi, nakesi yake bado haijaamliwa. Tuangalie tusijesababisha ccm wakapita bila kupingwa.
 
Nimeona mapokezi makubwa sana ya David Silinde mbunge wa CHADEMA, nimeridhika kabisa CHADEMA walifanya makosa makubwa sana kujiunga na UKAWA. Kama mkutano wa mbunge unazidi mapokezi ya mgombea urais wa CCM ni wazi CHADEMA ilikuwa imejijenga na haikuwa na sababu ya kujiunga na chama kingine.

Check hapa mafuriko ya wananchi ambao hata hawajabebwa..!
attachment.php

attachment.php

attachment.php
jamani kwa kwelihuyu jamaa mi namkubali sana tena sanaaaaaaaaaa. yani kama atahama nitaumia sana
 
CDM imekua inazungumzia sana swala la Elimu lakini naona kuna mabadiliko ktk kauli zao, Jimbo la Tunduma anasimamishwa Diwani Elimu yake ni STDVII Je? Kanuni sasa zinavunjwa kwa baadhi ya maeneo.

Kama sivyo kwa nini Casian Kaegere anayegombea Jimbo la Manispaa Sumbawanga anawekewa mizengwe ya Elimu?
 
huyu JAMAA KATUMWA NA CCM AU NA NANI? HAYA MAPOKEZI NI YA UKAWA KWA HIYO USITULETEA MAKUNYANZI YAKO YA KUTAKA CDM WAJITOE? WAJITOE ILI NINI? CDM TUNATAKA HATA HAO WA VYAMA VINGINE WAJITAMBUE WALIKO SIKO NA WAJUINGE NA UKAWA. HATUTA JITOA UKAWA, NA HUTAFANIKIWA KUTUTENGANISHA. LAZIMA CCM MUONDOKE BANA. HALAFU KUNA WIMBI KUBWA SANA LA WANACCM HUKU JF KUJIFANYA WANACDM, UTAWAGUNDUA KWENYE THREAD ZAO ZISIZO NA MASHIKO KAMA YA HUYU ALIYETOA HII THREAD. MTATAPATA SAFARI HII HADI MTAKOMA KUWAUDHU WATZ KWA ZAIDI YA MIA 50
 
Katika hali ya kushitusha aliyekuwa mbunge wa jimbo la momba ndugu sirinde amejikuta ktk wakati mbaya kutokana najimbo lake kugawanywa ambapo kumekuwa na majimbo mawili tunduma na momba katika mgawanyo huo sirinde ametupiwa momba ambako ndiko wananchi waeneo hilo wanachuki kuu! Kutokana na sirinde kuwatupa kwakuamini ngome yake nitunduma na kula atavunia huko, ilikuthibitisha ilo sirinde alitembelea jimbo hilo ilikuwaaga wanachama kwa muhula huu kwenye kata ya Ruwasho

Silinde akiongozana na Sugu walifanya mkutano nakuchinja ng'ombe tano nakusomba watu kwenye maroli kutoka tunduma na vijiji mbalimbali huku wenyeji waeneo hilo wakiwa wachache sana kwakususia mkutano pia pia aliwaalika manes na madaktar wa jimbo hilo ilikuhudhuria kikao cha ndan nakupanga kufanya sherehe kubwa lakin waalikwa walisusia kwakudai kuwa uhai wawatu nibora kulikokura zako Sirinde ni mbuzi wakafara aliyetolewa tunduma ilikupisha wenzake jimbo la momba ndiko sirinde alikozaliwa na ndiko hawamuhitaji kwasababu alihijali tunduma zaid akiamin ndko anakopata kura ama kweli usinyee kambi angali ..............inanyesha
 
Back
Top Bottom