Mapokezi ya Chongolo na Shaka CCM mkoa Dar es Salaam yafunika

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
877
955
Matukio katika ziara ya mapokezi na utambulisho wa Sekretarieti mpya ya Halmashauri kuu ya @ccm_tanzania Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo walipowasili katika ofisi za CCM Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 22 Mei 2021.

IMG_20210522_230540_449.jpg
IMG-20210522-WA0403.jpg
IMG-20210522-WA0409.jpg
 
Maharamia wauaji , ngoja tone kama wataachana na siasa za Polepole na Bashiru .... maana inapokuja kwenye madaraka ni wauaji, watekaji, wabambikia kesi, wezi and all filths johnthebaptist
 
Back
Top Bottom