Mapokezi makubwa yamsubiri Kangi Lugola Segerea na Ukonga. Wadau wasema ule utaratibu wa wafungwa kupigwa mateke na kulima uanze naye, aliuunga mkono

Mwanafunzi kwa mwalimu ni sawa na mtoto kwa baba! Ni ngumu sana baba kumfunga mtoto.. Kwakuwa damu ni nzito sana kuliko jasho

Jr
 
Wikendi hii nilipata fursa ya kutembela magereza ya Ukonga na Segerea(Segere Màtata) na nilijaribu kuongea na wapangaji wa huko kuhusu ujio wa Kangi Lugora katika magereza hayo.

Wengi walipokea hoja hiyo kwa furaha na wakasema kwamba,alishauri wafungwa wafanyishwe kazi za suluba za uzalishaji mali na ikibidi kupigwa mateke katika mashamba.

Pia wanasema alipunguza bajeti ya magereza na sasa wanaishi kwa tabu, na wakasema sasa aende akaonje adha ya uamuzi wake.

Wameshauri awe anapanda ile land cruiser ili ahenye kutokana na mwili alio nao na wengine wakashauri afungwe harakaharaka kama Mh Rais anavyopenda mambo yaende fasta ili wamkabidhi pori la kufyeka na kulima kwa jembe la mkono
Ngo, huyu haendi.
 
Lugola haendi Gerezani, faili litakaa kwa DPP hadi kesi itapoa kama siyo kusahaulika au watafanya plea-bargain 'itangazwe' amelipa kiasi kadhaa.
Hakuna anayejua undani wa hili sakata, 1 trillion walizosaini kwani wamewekewa wao kwenye akaunti zao? Kwa kauli ya Rais ni kutofata utaratibu wa kuidhinishwa na Bunge, mazingira ya kulipiwa accommodation basi. Possibly anaweza lipa pesa za posho kama zilitoka nje ya utaratibu wa kawaida (hiyo ndiyo gharama yake ya kuhujumu uchumi).

CCM NI ILE ILE....

Hii nchi ina watu wenye akil hawafik hata milion moja

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wikendi hii nilipata fursa ya kutembela magereza ya Ukonga na Segerea(Segere Màtata) na nilijaribu kuongea na wapangaji wa huko kuhusu ujio wa Kangi Lugola katika magereza hayo.

Wengi walipokea hoja hiyo kwa furaha na wakasema kwamba, alishauri wafungwa wafanyishwe kazi za suluba za uzalishaji mali na ikibidi kupigwa mateke katika mashamba.

Pia wanasema alipunguza bajeti ya magereza na sasa wanaishi kwa tabu, na wakasema sasa aende akaonje adha ya uamuzi wake.

Wameshauri awe anapanda ile land cruiser ili ahenye kutokana na mwili alio nao na wengine wakashauri afungwe harakaharaka kama Mh Rais anavyopenda mambo yaende fasta ili wamkabidhi pori la kufyeka na kulima kwa jembe la mkono
CCM haiwezi kumupeleka gerezani huyo mwenzao
 
Lugola haendi Gerezani, faili litakaa kwa DPP hadi kesi itapoa kama siyo kusahaulika au watafanya plea-bargain 'itangazwe' amelipa kiasi kadhaa.
Hakuna anayejua undani wa hili sakata, 1 trillion walizosaini kwani wamewekewa wao kwenye akaunti zao? Kwa kauli ya Rais ni kutofata utaratibu wa kuidhinishwa na Bunge, mazingira ya kulipiwa accommodation basi. Possibly anaweza lipa pesa za posho kama zilitoka nje ya utaratibu wa kawaida (hiyo ndiyo gharama yake ya kuhujumu uchumi).

CCM NI ILE ILE....
Hiyo kulipwa "accomodation ya US$ 800" kwani walitakiwa kulala uwanja wa ndege? Miaka ya 2004 rudi nyuma niliwahi kuhudhuria Board meeting ya PRIDE Tanzania, posho ya kikao ilikuwa US$ 500 hiyo ni nje ya gharama za hotel sasa kwenye nchi wa watu kulipa US$ 800 kwa "Night moja" mbona ya kawaida tuu hiyo.
 
Viini macho vya ccm sitaki kuvijadiri wanatuzuga tu, ili uamini wanawazuga wajinga kwanini hawajamsweka jela kama ulivyo utaratibu wa sheria yetu ya uhujumu uchumi? Au hiyo sheria ni kwa ajiri ya akina Sethi, Kabendera na wengine?
Taifa lina watawala wa hovyo sana.
 
Kama tungekuwa serious akina Chenge, Tibaijuka na kundi lote lililonufaika na escrow walitakiwa wawe ndani kwa uhujumu uchumi na utakatishaji wa pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akishindwa kuchanga karata zake..jamaa wanamfunga kweli ohooo

Nafasi ipo kusave sooo!!

CCM oyeee!!
Hawezi ukiona still yuko uraiani hadi sasa jua limepita hilo.Wa kufungwa hawezi achwa uraiani kwanza ndani kisha ushahidi ndo unatafutwa tena kwa kusuasua ili uoze ndani kwanza mambo yako yakishavurugika nje mfano mke kakimbia,biashara zimekufa,watoto wameshasambaratika ndio unaachiwa kwa maagizo ya DPP,ili uanze upya hii inaitwa kunyooshwa eti
 
Wikendi hii nilipata fursa ya kutembela magereza ya Ukonga na Segerea(Segere Màtata) na nilijaribu kuongea na wapangaji wa huko kuhusu ujio wa Kangi Lugola katika magereza hayo.

Wengi walipokea hoja hiyo kwa furaha na wakasema kwamba, alishauri wafungwa wafanyishwe kazi za suluba za uzalishaji mali na ikibidi kupigwa mateke katika mashamba.

Pia wanasema alipunguza bajeti ya magereza na sasa wanaishi kwa tabu, na wakasema sasa aende akaonje adha ya uamuzi wake.

Wameshauri awe anapanda ile land cruiser ili ahenye kutokana na mwili alio nao na wengine wakashauri afungwe harakaharaka kama Mh Rais anavyopenda mambo yaende fasta ili wamkabidhi pori la kufyeka na kulima kwa jembe la mkono
Simuombei Mabaya Kangi Lugola. Hakuwa Kiongozi mbaya. Anjali kazini Yote yatakwisha
 
Hawa hawa sisiem labda wengine, kesi ya ile yakuomba rushwa unajua iliishia wapi walikamatwa kabisa hand handed lakini huyo na uaziri kapewa, tafuta pesa mkuu, hakuna mtu anayeweza kata mkono wake wa kushoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom