Mapokezi makubwa yaandaliwa Dom kwa Mbowe na Wabunge wa CHADEMA

Mapokezi ya Viongozi wa CHADEMA yametia fora na kuacha gumzo ktk mitaa ya Dodoma, kweli nchi itachukuliwa very soon! MAKAMANDA WANAKUBALIKA PANDE ZOTE!

wapi picha mkuu?? tunataka kuona vile mapokezi ya chama halali tawala yalivyokuwa dom.
 
Wasio na ajira wala kazi za kufanya Tanzania hii tuko wengi mno. Wenzenu posho za Ubunge zinaanza kurindima kuanzia leo ninyi mnaandamana kuwapokea huku mkipiga miayo wala hamjui jioni ya leo mtakula nini!

Sasa ndugu yangu the logic is so simple to understand. Hao wanaopokewa na kuandaliwa maandamano ndo wanaenda bungeni kuwasemea ili ugumu wa maisha upungue, nao hao waandamanaji wa Dodoma wale milo mitatu. Sasa ulitaka wampokee JK Dodoma kwa maandamano kwa kushusha thamani ya pesa na kuleta ugumu wa maisha.
 
Mkuu simu yangu ya kichina inasumbua kuupload photos nadhan nikitulia kwenye desktop ya shemeji yenu nitazituma!
 
Wasio na ajira wala kazi za kufanya Tanzania hii tuko wengi mno. Wenzenu posho za Ubunge zinaanza kurindima kuanzia leo ninyi mnaandamana kuwapokea huku mkipiga miayo wala hamjui jioni ya leo mtakula nini!

Umepoteza dira na mwelekeo wa utozi maoni na unadhalilisha wasojiweza kwa chakula au kwakuwa mwenzetu umepata cha kulamba lamba leo hii,
Mpotovu mkubwa weh usiofaa kuongoza wanadamu na kauli zako hizo zitakushindisha njaa siku moja.
Ubinaadamu ni tabia utapendwa na kila mtu..
Bombocloot!
 
Hakika aliyeshiba hatambui uwepo wa wenye njaa!!!! Wewe unayetaka watu wasiandamane nahisi hujajitambua (ueledi wako mdogo) na hauko tayari kuwaamsha watanzania wenzako kulikwamua taifa toka ufisadi wa Magamba!! Mh Mkapa alijitahidi sana na hata wakipato cha chini hakulalama. Serikali hii kichefuchefu tumeichokaaa. Ni lipi jipya tangu kuondoka kwa Ben??? UDOM, Uwanja mpya, Madaraja na uchumi usiotetereka Ben alifanya!!! Kikweta amebakiaaa na semina elekezi na kujivua gamba!
Watanzania wajitambua zaidi kupitia chadema!!!!!!!!!!!!!!
 
Nadhani mapokezi yale yatawafanya chadema kuchangia vyema budget bungeni.
 
ujinga mtupu, hamna kazi za kufanya!? looking for cheap popularity?

Taarifa zilizo rasmi, zitokanazo na matangazo ya gari la CDM, wanachama wa CDM wote wanatakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapokea wabunge wa chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Mh.freeman Mbowe..waheshimiwa hao wanahudhuria katika vikao vya bunge la budget. Msafara wategemea kuwasiri majira ya saa 7 mchana. Pindi watapowasili habari picha zitafuata! Pipozzzzzzyzzz...
 
Kwa hiyo mtajikwamua kwa kuandamana, Kujikwamua ni kufanya kazi tu. acheni kudanganya watu. stupid.

Hakika aliyeshiba hatambui uwepo wa wenye njaa!!!! Wewe unayetaka watu wasiandamane nahisi hujajitambua (ueledi wako mdogo) na hauko tayari kuwaamsha watanzania wenzako kulikwamua taifa toka ufisadi wa Magamba!! Mh Mkapa alijitahidi sana na hata wakipato cha chini hakulalama. Serikali hii kichefuchefu tumeichokaaa. Ni lipi jipya tangu kuondoka kwa Ben??? UDOM, Uwanja mpya, Madaraja na uchumi usiotetereka Ben alifanya!!! Kikweta amebakiaaa na semina elekezi na kujivua gamba!
Watanzania wajitambua zaidi kupitia chadema!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa hiyo mtajikwamua kwa kuandamana, Kujikwamua ni kufanya kazi tu. acheni kudanganya watu. stupid.

AMANIBARAKA UMECHELEWA HAYA MANENO UNGESEMA MIAKA MITANO ILIYOPITA ILA LEO IS TOO LATE AISEE MUULIZE jk ANAJUA NGGUVU YA UMMA IMEFIKIA WAPI KWA SASA:majani7:
 
Anayeponda sidhani kama anajua anayemponda, maadan katoa mawazo yake kwa staili hiyo, huyo ni gamba tu.
 
mwenzao Lipumba kaelewa somo,tuachane na hao gambaz wazee wa nahau au misemo
 
Kwa hiyo mtajikwamua kwa kuandamana, Kujikwamua ni kufanya kazi tu. acheni kudanganya watu. stupid.

kufanya kazi? hata wakina mrisho sarakikya wamefanya kazi tena za maana, lakini leo wanalalamika eti analipwa pension elf 50 kwa mwezi, sasa wewe tetea ujinga tu kwa kupewa vijihela kidogo ukaona unapata huku ukisahau kuwa una dada, kaka, shangazi, watoto wajukuu nk ambao wanahitaji kupiganiwa maslahi bora. kiazi wee!
 
Nawaombeni mmsameheeni jamani!! Sio akili zake alikuwa ametumwa na nape bila shaka. Si unajua mawazo ya kuambiwa nenda ukaseme hivi, akili zao hazipo hapo hata na matapishi wao ni kulamba tu eti kisa kapewa sh.2000 au ngap ngapi hivi na kupandishwa kwenye lorry na kibarua kutoka ccm kwamba traffic wasimkamte. Akili mgando kabisa, leo wanafurahi na kusherehekea uhuru kwa nyimbo na ngoma kwani wanafikiri kwamba uhuru wao uliletwa na mafisadi na vibaraka wa wazungu waliokuwa wakiwapigia magoti ili wale makombo na kuwaosha miguu.

hakika aliyeshiba hatambui uwepo wa wenye njaa!!!! Wewe unayetaka watu wasiandamane nahisi hujajitambua (ueledi wako mdogo) na hauko tayari kuwaamsha watanzania wenzako kulikwamua taifa toka ufisadi wa magamba!! Mh mkapa alijitahidi sana na hata wakipato cha chini hakulalama. Serikali hii kichefuchefu tumeichokaaa. Ni lipi jipya tangu kuondoka kwa ben??? Udom, uwanja mpya, madaraja na uchumi usiotetereka ben alifanya!!! Kikweta amebakiaaa na semina elekezi na kujivua gamba!
Watanzania wajitambua zaidi kupitia chadema!!!!!!!!!!!!!!
 
Nguvu ya umma ipo popote, though mpo mbali naimani MAKAMANDA WALIOPO WATAWAKILISHA VEMA!
 
Back
Top Bottom