Mnaigeuza CHADEMA kuwa bendi ya muziki. Boys to Men, The Beatles, FM Academia, KandaBongoman,....., mapokezi kila mahala!Msibishane na wapumbafu, subirini picha muone shughuri yenyewe!
Mnaigeuza CHADEMA kuwa bendi ya muziki. Boys to Men, The Beatles, FM Academia, KandaBongoman,....., mapokezi kila mahala!Msibishane na wapumbafu, subirini picha muone shughuri yenyewe!
Ikiwa hali ndio hiyo, mnawasumbulia nini Watanzania masikini hawa hata mnapokuwa mnakwenda kwenye shibe ya peke yenu Bungeni? Mapokezi ya Arusha hayakutosha? Mbona mlibebwa kabisa?Umaskini wowote ni mbaya kabisa, lakini umasikini wa mawazo ni kichefuchefu. All you know is kula na kuvaa tu, expression of moral appreciation and support inahitaji uwe na Benz ama upate Lunch Holiday Inn? Haihitaji yote hayo kuunga mkono suala unaloliamini. By the way sehemu kubwa ya umma wa watanzania ni wapiga miayo na watembea na ndala.
Taarifa zilizo rasmi, zitokanazo na matangazo ya gari la CDM, wanachama wa CDM wote wanatakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapokea wabunge wa chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Mh.freeman Mbowe..waheshimiwa hao wanahudhuria katika vikao vya bunge la budget. Msafara wategemea kuwasiri majira ya saa 7 mchana. Pindi watapowasili habari picha zitafuata! Pipozzzzzzyzzz...
Mnaigeuza CHADEMA kuwa bendi ya muziki. Boys to Men, The Beatles, FM Academia, KandaBongoman,....., mapokezi kila mahala!
<br />Taarifa zilizo rasmi, zitokanazo na matangazo ya gari la CDM, wanachama wa CDM wote wanatakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapokea wabunge wa chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Mh.freeman Mbowe..waheshimiwa hao wanahudhuria katika vikao vya bunge la budget. Msafara wategemea kuwasiri majira ya saa 7 mchana. Pindi watapowasili habari picha zitafuata! Pipozzzzzzyzzz...
Wasio na ajira wala kazi za kufanya Tanzania hii tuko wengi mno. Wenzenu posho za Ubunge zinaanza kurindima kuanzia leo ninyi mnaandamana kuwapokea huku mkipiga miayo wala hamjui jioni ya leo mtakula nini!
Wasio na ajira wala kazi za kufanya Tanzania hii tuko wengi mno. Wenzenu posho za Ubunge zinaanza kurindima kuanzia leo ninyi mnaandamana kuwapokea huku mkipiga miayo wala hamjui jioni ya leo mtakula nini!
Subiri tu hizo picha za mapokezi zitoke. Wengine hata ndala miguuni hakuna. Tena sehemu yenyewe Dodoma kwa akina Matonya?
CHADEMA yetu inaelekea kufanya mambo kwa staili ileile ya CCM ya maandamano kwa kila kitu. Hamtakuwa tofauti mkipewa NCHI.I'm afraid utaniambia kwamba POSHO hizo nono zimewekwa na CDM. Pia huo umasikini wa mtu kutojua mlo wake kwa siku pia umeletwa na CDM.
Lakini wananchi sasa wanafahamu hayo madhila yote hayakuletwa na CDM, bali yameletwa na Chama Cha Magamba (CCM). The only way out ya kuondokana na madhila hayo ni kui-VOTE OUT CCM. No wonder wananachi wako tayari kwenda kuwapokea viongozi wa CDM because from CDM wananchi can see the LIGHT AT THE END OF THE TUNNEL. Lakini for CCM is completely darkness.
Waache wananchi wa-decide their destiny!
Hakikisha inachaji ya kutosha....lolteh! Teh! Simu yangu ya kichina itaweza? Ucjal tutatuma mapema afta tukio!
Ndio maana wanaandamana kwa vile sasa wanatumaini jipya. Ukombozi wanauona kwa mbaaliiWasio na ajira wala kazi za kufanya Tanzania hii tuko wengi mno. Wenzenu posho za Ubunge zinaanza kurindima kuanzia leo ninyi mnaandamana kuwapokea huku mkipiga miayo wala hamjui jioni ya leo mtakula nini!
Mabadiliko yataletwa na WATANZANIA wenyewe. Hivi vyama vya siasa vipo kiruzukuruzuku tu. Ukiondoa ruzuku hakuna chama kitabaki.Wakuu nasikia harufu ya mabadiliko.... roho inanidunda ---- Freedom is comming soon....
Kwa staili hii ya kukimbizana na polisi na mahakama safari inakuwa ndefu mno.Ndio maana wanaandamana kwa vile sasa wanatumaini jipya. Ukombozi wanauona kwa mbaalii