Mapokezi makubwa yaandaliwa Dom kwa Mbowe na Wabunge wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapokezi makubwa yaandaliwa Dom kwa Mbowe na Wabunge wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gagurito, Jun 7, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Taarifa zilizo rasmi, zitokanazo na matangazo ya gari la CDM, wanachama wa CDM wote wanatakiwa kujitokeza kwa wingi kuwapokea wabunge wa chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Mh.freeman Mbowe..waheshimiwa hao wanahudhuria katika vikao vya bunge la budget. Msafara wategemea kuwasiri majira ya saa 7 mchana. Pindi watapowasili habari picha zitafuata! Pipozzzzzzyzzz...
   
 2. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nasubiri kwanza picha ndipo nitoe comments zangu
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  teh! Teh! Simu yangu ya kichina itaweza? Ucjal tutatuma mapema afta tukio!
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Safi sana chadema dodoma fanyeni kweli ndio walichokuwa wanakitaka
  wapokeene mashujaa wapiganaji
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  No comment
   
 6. W

  WildCard JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Wasio na ajira wala kazi za kufanya Tanzania hii tuko wengi mno. Wenzenu posho za Ubunge zinaanza kurindima kuanzia leo ninyi mnaandamana kuwapokea huku mkipiga miayo wala hamjui jioni ya leo mtakula nini!
   
 7. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Wacha zako hizo, hata Mandela alitoka jela kuwa raisi wa RSA. Mwanzo wa mvua ni mawingu, tulia uone mambo, Peoplesssssssssss!!!!!!!!!!!
   
 8. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Endelea kukaa ktk computer yako(kupoteza muda)na kuandika urojo Kama huu,acha kuwakatisha tamaa wenzio.
   
 9. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hawana njaa kama wewe
   
 10. E. J. Magarinza

  E. J. Magarinza Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nipo ofisi za mkoa hapa na maandalizi ya mapokezi ndo yanaendelea.
   
 11. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pipozzz power kila sehem..magamba watapokelewa na semina elekezi bali makamanda hupokelewa kwa shangwe na vifijo kuashiria kazi nzuri walioifanya..
   
 12. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  sa hivi majamaa ni mashujaa wa taifa kama wale wazee waliopigana vita vya majimaji.....adui ana gobole, wazee wana vikombe vya babu.
   
 13. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,293
  Likes Received: 2,107
  Trophy Points: 280
  kwi! kwi! kwiiii! eti wanaenda kumpokea mtu anayeenda kazini tena kazi inayomlipa mamilioni? ama kweli wajinga wengi
   
 14. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Is it neccessary? anyway kila la heri wakazi wa dodoma na wanacdm
   
 15. W

  WildCard JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Subiri tu hizo picha za mapokezi zitoke. Wengine hata ndala miguuni hakuna. Tena sehemu yenyewe Dodoma kwa akina Matonya?
   
 16. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Msibishane na wapumbafu, subirini picha muone shughuri yenyewe!
   
 17. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Umaskini wowote ni mbaya kabisa, lakini umasikini wa mawazo ni kichefuchefu. All you know is kula na kuvaa tu, expression of moral appreciation and support inahitaji uwe na Benz ama upate Lunch Holiday Inn? Haihitaji yote hayo kuunga mkono suala unaloliamini. By the way sehemu kubwa ya umma wa watanzania ni wapiga miayo na watembea na ndala.
   
 18. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Kinachowaquma enyi watu wa Chama cha magamba ni kuwa siku hizi wananchi hawana imani na ninyi hivyo ni vigumu kuitisha mikutano na maandamano hadi muwalipe wahudhuriaji; hivyo mnavionea gere vyama ambavyo wananchi wana imani navyo
   
 19. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kalagabahoooo
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Mbele kwa mbele CDM na wadau wote.
   
Loading...