Uchaguzi 2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

Hapana acha uongo hiyo picha siyo ya chato acha kupotosha Lissu aliingia chato jion sana na mda ulikuwa umeenda haikuwa mchana kama ilivyo kwenye picha hiyo kawadanganye wajinga wenzio huko na mambo yenu ya kutumia picha za sehemu zingine
Unachobisha nini si uende yotube ukaangalie mnabishana mpaka na visivyobishika

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ni alipokuwa anawasili na kupokelewa na maelfu ya wana - Chato



Na hapa chini ni katika mkutano wa kampeni menyewe.

Japo alifika Chato akiwa amechelewa sana, hata hivyo ilibidi awasalimie watu maelfu waliokusanyika wenyewe tangu mapema kabisa wakimsubiri Rais wao, mfariji wao.

Tundu Lissu alilala hapo Chato na asubuhi hii ameanza safari kuelekea kwenye baadhi ya maeneo ya mkoa wa Mwanza (Ukerewe) na baadaye ataingia mkoa wa Mara jimbo la Rorya kwa Ezekiel Wenje.

 
Wewe Jamaa ni mpuuzi kweli rejea uchaguzi wa Mwaka 2015, mtu ambaye hakubariki kwao anaweza kupata zaidi ya 95% ya kura zilizopigwa.
Mtu ambaye hakubariki anaweza kupata madiwani wote kutoka kata 17 .

Yaani tarehe 28/10/2020 ndiyo muone nini kitatokea .
Ni mwizi wa kura ndiyo maana alipata 95% mwaka 1995. Mwaka huu chupi zitawabana, hapo hapo Chato Lissu atavuna 80% ya kura za Urais. Geita ndiyo usiseme
 
Back
Top Bottom