Mapokezi maalum kwa Maalim Seif kisiwani Pemba kutoka Airport yarindima barabarani

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,279
Kipenzi cha wazanzibari na rais halali wa Zanzibar maalim Seif Sharif Hamad apokewa kwa shangwe kisiwani Pemba, kutoka Airport wapenzi na wanachama wa CUF walisimama barabarani kutoka Airport Pemba hadi Wete kumpingia makofi na kumuita Rais' Rais' Rais....

Picha: hiyo ndio hali halisi kila alipopita barabarani
tmp_10957-IMG-20160514-WA0012-446215389.jpeg

tmp_10957-IMG-20160514-WA0008-2017867169.jpeg
 
Kipenzi cha wazanzibari na rais halali wa Zanzibar maalim Seif Sharif Hamad apokewa kwa shangwe kisiwani Pemba, kutoka Airport wapenzi na wanachama wa CUF walisimama barabarani kutoka Airport Pemba hadi Wete kumpingia makofi na kumuita Rais' Rais' Rais....

Picha: hiyo ndio hali halisi kila alipopita barabarani
View attachment 347444

View attachment 347445
Acha ushabiki wewe raisi halali nyumbani kwako tu.
 
Mi nilisema humu, watu wasilinganishe siasa za bara na siasa za zanzibar! Wenzetu wana uzalendo wa ukweli, moyo wanaouonyesha wapemba sasaivi....ni moyo uleule walioonyesha wazalendo wa s.afrika kwa mandela" na sehem nyingi ambapo wazalendo walishikamana, bila kujali hali iliopo" walipinga kile walichokiona kwenye jamii yao ni dhulma, na walifanikiwa" kisiasa visiwani wanajielewa zaidi kuliko sisi wabara"
 
Naona wapenba wakimsubiri rais wao hapo. Ccm wekeza unguja achaneni na wapemba waisome no. Wasilazimishe urais wa kiikanda
 
Siku zote ukipata madaraka kwa dhulama usitegemee kuwakomboa wananchi itabaki vilevile kama ilivyo ingia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom