Mapokezi jamani.

Duh!yaani wewe bonge la msanii,umeingia siku nyingi na umeandika posti nyingi alafu unaomba tukupokee kivipi?unaingia alafu unapiga hodi!wewe ni kabila gani?je huu ndiyo utaratibu wa kabila lenu?
 
Mkaribishe tu!
 
karib sana husninyo. tumefrahi sana kukuona umejiunga na sisi. PM maana yake ni Private Message.
asante na karib
 
Karibu hii itakuwa kali ya mwaka mie mgeni nikukaribishe wewe mwenyeji wangu au unanitega nini?
 
karib sana husninyo. tumefrahi sana kukuona umejiunga na sisi. PM maana yake ni Private Message.
asante na karib

ha ha ha!
We mhadhiri leo una matatizo gani kwenda kufufua masredi ya kale.
Lol!
Haya ahsante.
Hivi ban, invisible, maxence melo nazo maana yake nini?
 
nimemiss kukukaribisha kweli aisee. halaf nina kazawadi kako. hivi kaizer ameshaondoka dom?
 
kaizer ameweka kambi aisee!
Dah! Mwalimu unataka kunipa zawadi ya masalio ya mabomu.
Dah!
hii kaizer inanitafta ubaya sasa, na wewe inaonekana unafurahia aendelee kuwepo! haka kazawadi nitampa keren happuch ujue.
 
Karibu Sana Hus... Mimi ndio VoR natumai tutakuwa marafiki wazuri sana...
Karibu Jamvini na usisahau ukarimu wangu kwamba nilikukaribisha..
 
ahsante VOR, una jina zuri. Natumai nitajifunza mengi kutoka kwako.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom