Mapishi ya vipapatio vya kuku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapishi ya vipapatio vya kuku

Discussion in 'JF Chef' started by Bikra, May 16, 2009.

 1. Bikra

  Bikra Senior Member

  #1
  May 16, 2009
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mahitaji:
  Vipapatiro vya kuku gramu 500, vitunguu gramu 100, figili gramu 100, pilipili hoho gramu 20, vitunguu saumu gramu 20, tangawizi gramu 15, cumin vijiko viwili, mchuzi wa sosi vijiko viwili, sukari vijiko viwili, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, chumvi kijiko kimoja, mafuta ya ufuta kijiko kimoja , chembechembe za pilipili manga kijiko kimoja
  Njia:
  1. kata vitunguu maji viwe vipande, kata figili iwe vipande, kata pilipili hoho iwe vipande.
  2.kata vipapatiro vya kuku viwe vipande viwili na koroga pamoja na mchuzi wa sosi, mvinyo wa kupikia na chembechembe za pilipili manga.
  3.washa moto, mimina mafuta kwenye sufuria, tia vipande vya vipapatiro vya kuku kwenye sufuria vikaange mpaka viwe hudhurungi, vipakue. Washa moto tena, tia vipande vya tangawizi, vitunguu saumu, pilipili hoho, korogakoroga, tia vipande vya figili na vitunguu saumu korogakoroga, tia vipande vya vipapatiro vya kuku, korogakoroga, tia mchuzi wa sosi, sukari, cumin, chumvi ,korogakoroga, mimina mafuta ya ufuta , ipakue. Mpaka hapo kitoweo hiki kiko tayari kuliwa.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Sasa Bikra hii kitu si mahala pake hapa au umetumia tafsida kufikisha ujumbe wa mapenzi naona kama imekaa kima pishi pishi zaidi.
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mbona thread za bikra mie sizielewi kabisa, bikra ndio mapishi ya kikweli au ni ka fumbo?
   
 4. Bikra

  Bikra Senior Member

  #4
  May 16, 2009
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nyamayao .... Jamani si kila kitu kinaonekana hapo juu, Hayo ni Mapishi haswa ila yatamsrika vyengine !
   
 5. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2009
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Sasa kama ni mapishi haswa, iweje uweke madikodiko kwenye thread ya mapenzi/mahusiano? Inaelekea unapenda sana hicho kitu. Anyway, kila mtu ana lengo lake humu!!
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  kwanza vinaitwa vipapatio
  ila kulikoni mambo ya jikoni kuwekwa kwenye jukwaa la mahaba?
  Ila mbona umenuizia kitoweo tu??? hujasema kinafaa kuliwa kwa chai au mihogo nk?

  Enewei kama nimekusoma kifikra naona umenuizia vitu halisi ktk mambo ya CHOMBO NA MWENDO.
  ah mahaba bwana?!!! yana lugha nyingi sana
   
 7. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Kila mwanamke ambaye "hujatembea" naye ni Bikra, na mara nyingi nyamaume hubabaika kwa bikras. Ila kwa BIKRA huyu kazi ipo na ipo kwelikweli!
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  mkuu
  bikra huyu ni jina tu. huko awali ashamalizika kabisa
   
 9. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mambo ya mapishi hapa tena kulikoni? Mod tuletee jukwaa la mapishi.
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  :eek:...

  ...am utterly speechless, heri nyie mmesema.
   
 11. B

  Bibi Kizee JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tehe tehe tehe teheeeee angalau nimepata cha kunifurahisha weekend!! watu wanakuzingatia bikra na post zako!!

  ila umenikumbusha mbaaali kwa vipapatio...,hivi vipapatio bongo vinapatikana au ndio mpaka umpate kuku na miguu yake, najua miguu per se utaipata uwanja wa fisi, buguruni nk, sijawahi kuona vipapatio au vipaja vikiwa vinauzwa vyenyewe!!
   
 12. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Jaribu pia njia ambayo ni nyepesi na ladha yake ni yapeke yake chukuwa hivyo vipapatiro na vipake DARK SOYA chumvi tia (weka)kiducho sana (kidoga sana)kwani soya tayari inachumvi kimaliza zitie (weka)ndani ya oven kwa 30 dakika huhitajii kutia(kuweka)viungo vingine kama huna oven choma kama vile unachoma mishikaki (nyamaChoma)
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  jamani... madikodiko na mahaba huenda pamoja..ndiyo maana mwenzetu kaona aweke hapa!
   
 14. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona hujaeleweka unaweza kufafanuwa ?tafadhali
   
 15. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  wazungu husema - the way to a man's heart is thru the stomach!
   
 16. V

  Vision2010 Member

  #16
  May 28, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WoS, napenda unavyoandika ndani ya JF. Nataka nifikishe posts kama za kwako na zote ziwe za hekima na busara. Nitajitahidi kuwa mkweli daima
   
 17. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Utatufanya wengine tuanze kujiuliza hapa?
   
 18. Spider

  Spider JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2015
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ma mbo ya chicken wings si mche zo.vipapa tio ni vitamu sana,
   
Loading...