allantence
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 353
- 300
Hello wana JF, natumaini mpo salama wazima wa afya, anayejua mapishi na maandalizi ya samaki Kambale anisaidie jinsi ya kumpika natanguliza shukrani.
Mkavu .Kambale wako ni mbichi au mkavu?
Msafishe kambale, mtie chumvi mchemshe aiveMkavu .
Kambale ni chura aliyegoma kuota miguu
Tayari kwa kuliwa💓😁Msafishe kambale, mtie chumvi mchemshe aive
Kwenye blenda Kata nyanya, tangawizi kiasi na kitunguu saumu...visage kisha weka pembeni.
Bandika sufuria, tia mafuta, kaanga vitunguu maji, tia mchanganyiko uliosaga kwenye blenda, Tia chumvi kidogo nyanya ziive haraka.
Nyanya zikiiva Tia kambale uliyemchemsha mwanzo...na Ile supu yake utakadiria mchuzi, kamulia ndimu au limao.
Kama Una Nazi utaweka pia utakoroga koroga Hadi mchuzi uchemke...ipua tayari Kwa kuliwa.
Nisamehe Kwa mwandiko.
Makambare ni mimba za funza,haa haaMloweke na maji moto sana.
Halafu muoshe weka pembeni.
Katakata vitunguu maji, nyanya,hoho, karoti,bamia nyanya chungu, zote weka kwenye sufuria na ubandike jikoni.
Menya kitunguu swaum, twanga kisha weka kwenye sufuria linachomke jikoni, ongeza tumaji tudogo ili viive
Vikiiva vyote huo mchanganyiko wako dumbukiza huyo kambale weka na tui lako la nazi, tupia na kapilipili.
Songa kaugali lainiiiiii.
Enjoy msosi.
Angalizo: Makambale yakikaa mda mrefu huwa yanatoa funza kwenye bichwa
Thanks...Msafishe kambale, mtie chumvi mchemshe aive
Kwenye blenda Kata nyanya, tangawizi kiasi na kitunguu saumu...visage kisha weka pembeni.
Bandika sufuria, tia mafuta, kaanga vitunguu maji, tia mchanganyiko uliosaga kwenye blenda, Tia chumvi kidogo nyanya ziive haraka.
Nyanya zikiiva Tia kambale uliyemchemsha mwanzo...na Ile supu yake utakadiria mchuzi, kamulia ndimu au limao.
Kama Una Nazi utaweka pia utakoroga koroga Hadi mchuzi uchemke...ipua tayari Kwa kuliwa.
Nisamehe Kwa mwandiko.
Kambale mbichi msugue vizuri Kwa majivu Ili kutoa ule utelezi, kisha muoshe mtie chumvi na ndimu/limao na umuweke pembeni.Thanks...
Kama ni mbichi je...?
Nawapenda ila naogopa kuwanunua maana sijui niaanzie wapi kupika...
U bachelor tabu
😊 Asante kwa darasa. Ubarikiwe maisha marefuKambale mbichi msugue vizuri Kwa majivu Ili kutoa ule utelezi, kisha muoshe mtie chumvi na ndimu/limao na umuweke pembeni.
Kisha andaa kitunguu maji, kitunguu saumu, tangawizi na hoho na nyanya. Hapa ukiweza saga vyote kwenye blenda kasoro hoho na kitunguu maji.
Kwenye sufuria kaanga kitunguu maji, kitunguu saumu, tangawizi, tia hoho na nyanya....
Nyanya zikiiva Tia Yule kambale ulomuandaa, kadiria mchuzi kisha funika aive....kadiria chumvi na ndimu kiasi upendacho.
Hapo Yuko tayari kuliwa Kwa ugali.😋
Dah! Samaki ananuka shombo utadhani nini sijui! Bonde la Mto Kilombero hawa kambale huuzwa kwa bei ya chini sana wakiwa wabichi. Binafsi, bora nile Kitoga. Ila siyo kambale.Kambale mbichi msugue vizuri Kwa majivu Ili kutoa ule utelezi, kisha muoshe mtie chumvi na ndimu/limao na umuweke pembeni.
Kisha andaa kitunguu maji, kitunguu saumu, tangawizi na hoho na nyanya. Hapa ukiweza saga vyote kwenye blenda kasoro hoho na kitunguu maji.
Kwenye sufuria kaanga kitunguu maji, kitunguu saumu, tangawizi, tia hoho na nyanya....
Nyanya zikiiva Tia Yule kambale ulomuandaa, kadiria mchuzi kisha funika aive....kadiria chumvi na ndimu kiasi upendacho.
Hapo Yuko tayari kuliwa Kwa ugali.😋
Ukimpata mlete nikupikie boss, anapigwa Nazi huyo humjui.Dah! Samaki ananuka shombo utadhani nini sijui! Bonde la Mto Kilombero hawa kambale huuzwa kwa bei ya chini sana wakiwa wabichi. Binafsi, bora nile Kitoga. Ila siyo kambale.
Kitoga Ni kambale mweupe tuDah! Samaki ananuka shombo utadhani nini sijui! Bonde la Mto Kilombero hawa kambale huuzwa kwa bei ya chini sana wakiwa wabichi. Binafsi, bora nile Kitoga. Ila siyo kambale.