Lignocaine
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 289
- 730
Chapati ngumu kama mfuniko wa chunguUkipata muda uweke namna ya kuchoma chapati za kusukuma.
Kuna siku nimechoma zikawa ngumu kama nimechanganya saruji na unga wa ngano.
Chapati ngumu kama mfuniko wa chunguUkipata muda uweke namna ya kuchoma chapati za kusukuma.
Kuna siku nimechoma zikawa ngumu kama nimechanganya saruji na unga wa ngano.
Chapati ngumu kama mfuniko wa chungu
Huo Unga ngano nusu zinatoka chapati ngp
Chapati za kusukuma rahisi sana, shida yangu ipo kwenye za kumiminia zinatoka zimekatikakatikaUkipata muda uweke namna ya kuchoma chapati za kusukuma.
Kuna siku nimechoma zikawa ngumu kama nimechanganya saruji na unga wa ngano.
Ukipata muda uweke namna ya kuchoma chapati za kusukuma.
Kuna siku nimechoma zikawa ngumu kama nimechanganya saruji na unga wa ngano.
Jaribu kuweka chumvi na sukari pamoja,vikiwekwa vyote ladha huwa inakua nzuri.Hizi chapati nimepika jana ila watu hawakupenda uwepo wa sukari
kwa style hii hatuoi ng'ooooKwa wale vijana wa kiume na wakike ambao huwa mnapika chapati za kumimina simple simple yaani chapati unakula lakini hata ladha huifurahii.
Hebu pitia hizi njia hapa then utakuja kunishukuru baadaye...
Maandalizi ya awali...
Unga wa ngano nusu kilo
Mafuta ya kupikia
Maji masafi
Fraying pan moja
Iriki pakiti 6 zile za sh. 50
Mayai ya kienyeji/kisasa matatu
Sukari vijiko viwili vya chakula
Chumvi kijiko kimoja na nusu cha chakula
Pilipili hoho/ kama hutumii haina haja
Vitunguu maji viwili vikubwa vya wastani
Karoti moja ya size ya kawaida
Sufuria ya size ya kati kwa ajili ya kuchanganya mchanganyiko
Mapishi sasa yenyewe!!
1) Chukua unga wako weka kwenye sufuria, weka chumvi na sukari koroga huo mchanganyiko.
2)Kata vitungu maji, hoho, na karoti katika size ndogo ndogo kisha changanya kwenye huo mchanganyiko hapo juu!
3) Chukua iriki zile zitwange kwenye kinu ziwe kama unga unga kisha weka kwenye huo mchanganyiko hapo juu
4) pasua mayai yako kisha koroga kwenye chombo pembeni halafu changanya kwenye huo mchanganyiko hapo juu.
5) chukua maji anza kumimina kwenye huo mchanganyiko mpaka uone unga umechanganyika vizuri na angalia usizidishe maji unga ukaleta uji uji mwepesi sana unatakiwa uwe mzito kiasi na usiwe mzito saaana.
6) Baada ya kukoroga na kupata mchanganyiko mzuri acha kwa dakika 5 kisha anza kuwasha jiko na weka fraying pan yako jikoni ianze kupata moto na mafuta kiasi weka.
7) baada ya fraying pan kuwa tayari anza kumimina mchanganyiko wako kwa kiasi. Angalizo Moto usiewe mkali sana....
Ahsante na mapishi njema
Niliweka pamoja, mimi nilipenda ila wengine hawakupendaJaribu kuweka chumvi na sukari pamoja,vikiwekwa vyote ladha huwa inakua nzuri.
Umenkumbusha kuna kipindi nshawahi kula chapati mbili kwa mama ntilie flani ivi,nlitafuna saa nzima aisee,chapati ngumu kama gwanda la jeshiiChapati ngumu kama mfuniko wa chungu
Santeeee hii lzm niitestUnaweza ukachanganya unga na maziwa badala ya maji kwa upishi kwa chapati zenye mvuto zaidi