Mapingamizi ya Musiba kwenye kesi yake dhidi ya Membe, yatupwa!

Any updates?

Kesi ilisikilizwa hiyo tarehe 31 Machi, 2020?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisikia hapo kabla kwamba Corona imeziba masikio ya wasikilizaji wa mahakama, videoconference.
Kwa sasa haitasikilizwa kisingizio kitakuwa Corona. Na hata Corona ikiisha kutakuja kisingizio cha mrundikano wa kesi kwa sababu ya Corona hivyo tusiiitegemee kusikilizwa hivi karibuni.
 
Mkuu naona unatiririka madesa ya LS105 hahaha
Inapendeza.......Mimi ambaye si mwanasheria nimenufaika na desa hili la LS 105…..kumbe hata First year husoma mambo mazito na mazuri...tehtehteh
 
Nilisikia hapo kabla kwamba Corona imeziba masikio ya wasikilizaji wa mahakama, videoconference.
Kwa sasa haitasikilizwa kisingizio kitakuwa Corona. Na hata Corona ikiisha kutakuja kisingizio cha mrundikano wa kesi kwa sababu ya Corona hivyo tusiiitegemee kusikilizwa hivi karibuni.
Coincidence ya Corona itaahirisha na/au kufuta vitu vingi.Nitakuwa ndiyo kisingizio cha hata kutokusikilizwa kesi kama hizi.Aibuuu yao.
 
Nilisikia hapo kabla kwamba Corona imeziba masikio ya wasikilizaji wa mahakama, videoconference.
Kwa sasa haitasikilizwa kisingizio kitakuwa Corona. Na hata Corona ikiisha kutakuja kisingizio cha mrundikano wa kesi kwa sababu ya Corona hivyo tusiiitegemee kusikilizwa hivi karibuni.
Aisee, wacha tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungekua na mahakama huru huyu alikua wa kuhukumiwa kupigwa risasi hadharani
 
Back
Top Bottom