Mapinduzi yaja Tanzania

Siku uwezo wake ukishuka hata kufikia level za wale wahuni pale kinondoni, mtajua serikali nini. Huyu ni genius hajapata kutokea kiongozi mahili baada ya Nyerere kama JK, ni kwa busara yake tu hadi leo mnaweza kuendelea kumtukana, ila Mungu anawaumbua kila siku, na ninyi mnalifahamu hilo.
hahhaha...ni genius kwa sababu watu wanamtukana na amekaa kimya? niambie ni nchi gani ya kidemokrasia Rais akifanyiwa hivi(kuambiwa ukweli) anauwa wananchi wake.. ukweli ni kuwa hiyo nchi haipo hapa duniani.. kwa hiyo point yako hai exist kabisa

poa mkenya

Mbona mnakuwa wagumu sana kumeza ukweli usio endana na mawazo yenu? mngekuwa kweli mnataka kuleta mabadiliko mngeanza kubadilisha mitazamo yenu kwa wanao wapinga ili hata kwenye hayo mageuzi kuwe na sura ya umoja.

hahhaha...ni genius kwa sababu watu wanamtukana na amekaa kimya? niambie ni nchi gani ya kidemokrasia Rais akifanyiwa hivi(kuambiwa ukweli) anauwa wananchi wake.. ukweli ni kuwa hiyo nchi haipo hapa duniani.. kwa hiyo point yako hai exist kabisa

China mnayoipigia mfano wa maendeleo, unapotezwa na unachofanywa favour pekee unayoiomba ni kuuwawa.

kila kitu kina mwanzo wake...na mwanzo wa watz kufanya mapinduzi ya kuun'goa uongozi usiowatumikia na kuwaletea hali ngumu zaidi za maisha ni sasa. kuna kila dalili kuwa bado kidogo tu, mapinduzi yanatokea tz....tuwe tayari

Time has come for the Tanzanian to unity for the good of our nation and next generation otherwise tutabaki magofu na ombaomba au kujikuta tunatumia dola kama Zimbabwe. Muda huruma umekwisha tukifa leo ni faida kwa wajao. Aluta continua naunga mkono mapinduzi

Tatizo kubwa la kiongozi wetu amekuwa mwepesi wa kuitikia kwa haraka mambo ambayo kwake ni burudani kasaau tumempa dhamana kusimamia yaliyo ya msingi!amekuwa mtu wa visasi kwa yeyote anayetaka kumkosoa!sasa nchi inazama kisa kaiuza mikononi mwa wafanyabiashara na wale wanaompa bakshishi kipindi cha kampeni!!

Angekuwa ana uwezo mkubwa angetafakari maneno ya Kagame wa Rwanda kuwa "ANGEPEWA UWAZIRI WA BANDARI NA UTALII ANGELISHA TANZANIA NA RWANDA " wewe kama mtanzania bado unajivunia kuwa na Rais mwenye upeo kweli shame on you.
Siku uwezo wake ukishuka hata kufikia level za wale wahuni pale kinondoni, mtajua serikali nini. Huyu ni genius hajapata kutokea kiongozi mahili baada ya Nyerere kama JK, ni kwa busara yake tu hadi leo mnaweza kuendelea kumtukana, ila Mungu anawaumbua kila siku, na ninyi mnalifahamu hilo.

Mabadiliko ya kweli hayaletwi kwenye social networks.
Watu tunaongea tu bila kuchukua hatua, tunalaumu na kukosoa bila kutoa nia mbadala.
Tunahitaji hatua za ziada ili kuyaende mabadiliko.

Sasa tunatakiwa kwenda mbali zaidi imetosha imetosha.........inauma sana...mimi najiuliza hivi kwenye Jeshi letu la leo hakuna wale wakina Zakaria Hanspop,Martin Tamimu etc etc....... wa zama zileeeee...ahhhaa shit

Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma.

Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida.

Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni.

Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.

You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.

Tunajua watu watakapo penda kukosolewa na kuelewa ya kuwa hata wao wanakosea ndio tutakubali mapinduzi yanakuja. Tatizo letu hatutaki kukosolewa, hatutaki kuwa wawazi, usiri kila kitu. Wanatumia vyeo vyao kuwagandamiza wale ambao hawana uwezo, wanaotegemea mishahara wakulima, wafanya biashara wadogo wadogo. Tunachotaka ni unafuu wa maisha sio kupigiana makelele. Ningekuwa na uwezo watu wote ambao walishakuwa serikalini wakashindwa kufanya kazi wote ningewatuma vijijini wakasaidiane na wakulima, na wao waone raha ilivyo.

Kwa yeyote aliyesoma historia ya mapinduzi ya umma popote duniani anajua Tanzania tayari imeiva kwa wananchi kuundoa utawala uliopo. Ni lini na kitu gani kitasababisha wananchi kuingia barabarani hatuwezi jua sasa. Maana jambo ambalo watawala wataona dogo inawezekana ndilo litakalo kuwa chanzo cha mapinduzi. Tumuombe Mungu atupitishe salama ktk kipindi hiki tete kwa usalama wa taifa letu.

jamani tuingie barabarani this is toooooo much tufunge njia zote kwa magari,baiskeli,pikipiki hakuna mtu kwenda kazini.
Enough...........!!!!!

Siku uwezo wake ukishuka hata kufikia level za wale wahuni pale kinondoni, mtajua serikali nini. Huyu ni genius hajapata kutokea kiongozi mahili baada ya Nyerere kama JK, ni kwa busara yake tu hadi leo mnaweza kuendelea kumtukana, ila Mungu anawaumbua kila siku, na ninyi mnalifahamu hilo.

Kwa kuwa Dr.sawa wa darsani?Nyie ndio munaomdanganya Rais kwa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.Wewe kweli unaona kila kitu kinaenda sawa?Kwahiyo tunayoshauri humu si ya msingi kabisa?Mungu awalaani wote mnaokuwa kama Popo.Ni karibuni tu hukumu yenu itajidhihirisha.

kila kitu kina mwanzo wake...na mwanzo wa watz kufanya mapinduzi ya kuun'goa uongozi usiowatumikia na kuwaletea hali ngumu zaidi za maisha ni sasa. kuna kila dalili kuwa bado kidogo tu, mapinduzi yanatokea tz....tuwe tayari

Mwenyezi Mungu apishie mbali pepo hilo. Silaha ni moja tu ya kuuodoa utawala wa ccm ni kwa njia ya KURA na si vinginevyo. Madhila ya mapinduzi tuishie kuyaona kwenye luninga zetu.

jamani tuingie barabarani this is toooooo much tufunge njia zote kwa magari,baiskeli,pikipiki hakuna mtu kwenda kazini.

Enough...........!!!!!

watu wengine wakisha kula na kushiba wanatapika maneno inaonekana hawa ni kula kulala, hakuna mtu dunia ya leo anayeombea machafuko nchini mwake, angalia misri mpaka leo hawajakaa sawa!! acha upuuzi wako!

Back
Top Bottom